Kuna mambo watu wa dini huwa wanaamini na kuyatetea mtu mwenye fikra huru unabaki kushangaa tu.

Kuna mambo watu wa dini huwa wanaamini na kuyatetea mtu mwenye fikra huru unabaki kushangaa tu.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa

1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa ambayo hawajayafanya ya wazazi wao.

2. Kuruhusu utumwa, kununua na kuuza watu kama bidhaa.

3. Kuteua taifa moja kuwa teule na kuliruhusu kufanya maumbaji ya kimbari (genocide) kwa jamii nyingine.

4. Mfumo dume katili ambao ambao unamkandamiza mwanamke kwa kila kitu.

5. Kuruhusu Vifo, magonjwa, njaa na mateso ya kila aina kwa watoto wadogo ikiwa Kuna uwezo wa kuzuia.
 
Inonekna kuna hoja ulitaka kujenga ila tukitaka kujadili inatakiwa tuweke mifano yako pembeni kwani yenyewe ni hoja tofauti tofauti....
 
Back
Top Bottom