Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge halifu la mwota njozi, na kwa kanuni za intelijensia mwota njozi huwa ni hekima akakamatwa, hizi tunaita ni fitna, kupanga jambo la uharibifu ili yule aonekane mbaya Huku ikijifanya umepewa fununu, sasa ni hekima
tukampata huyo aliyekupa fununu,
tukampata huyo aliyekupa fununu,