Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
With current condition wakijaribu kufanya hivyo ni sawa na kuongezea mafuta kwenye moto unaoendeleaKiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge halifu la mwota njozi, na kwa kanuni za intelijensia mwota njozi huwa ni hekima akakamatwa, hizi tunaita ni fitna, kupanga jambo la uharibifu ili yule aonekane mbaya Huku ikijifanya umepewa fununu, sasa ni hekima tukampata huyo aliyekupa fununu, View attachment 3327771
Chadema chakavu wamekuwa kama mitahira iliyorogwa ikarogeka. Katikati ya sintofahamu ya kidini inayowazunguka; mwanalichadema chakavu ambalo michadema chakavu mingine imemfanya role model wao Bado linatupia maneno yanayoashiria udini kwa mtu ambaye anamtuhumu kimagumashi Huku akiwa ana wafuasi wasioegemea upande wowote wa kiimani.........kweli akili ni nywele na chuki kumbe kweli humpofusha aliyonayo.Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge halifu la mwota njozi, na kwa kanuni za intelijensia mwota njozi huwa ni hekima akakamatwa, hizi tunaita ni fitna, kupanga jambo la uharibifu ili yule aonekane mbaya Huku ikijifanya umepewa fununu, sasa ni hekima
tukampata huyo aliyekupa fununu, View attachment 3327771
Mkuu unajitangaza et??Tunachukizwa na jumuiya ya ulaya kupitia CHADEMA katika azimio lao namba (6) kuhimiza watanzania hukeshimu haki za mashoga! View attachment 3327870