miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
unapenda mademu wakali wakati wewe ni bahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kunambia hujanimiss kabisa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ata sijui!!! Ila kama unajisugua vizuri taulo lako halichafuki sana!!!Hivi kweli ule uchafu hua unatoka wapi?!
Nimekumis jamani!!!Unataka kunambia hujanimiss kabisa??
Iv Unajua Mi NakupendaWatu walioendelea hawatumii leso kufutia makamasi... Kuna tissue/wipes za kazi hiyo. Unatumian once na kutupa
....
Unaosha kuondoa vijidudu visivyoonekana kwa macho... Katika kutoa maganda vijidudu hivyo vina uwezo wa kuingia kwende ndizi. Ni bora kua salama tu!
....
Condom si za kuzuia magonjwa tu mkuu!!! Ata mimba zisizotarajiwa
....
Kwanini mtu atumie maji ya bafuni kuswaki? Huyo ana yake!!!
....
Unanawa na sabuni ukitoka kula kutoa harufu ya chakula mkononi... Hamna anaependa kutembea njiani huku mikono inanuka samaki au nyama
....
Mda mwingine watoto wa kike wakiwa wenyewe chumbani wanapenda kujiachia... Yaani kua huru! Atavua sketi na kubaki na chupi au anajifunga kanga tu!!! Ko inabidi umpe mda ajistiri
Nakupenda piaIv Unajua Mi Nakupenda
Ebu Njoo Pm Tutete kidogoNakupenda pia
Mpaka hapo ushanikosa!!! Yaani mimi ndo nikufuate PM!?Ebu Njoo Pm Tutete kidogo
Km alikitumia SAA 7 mchana kimekaa mpaka SAA 11 hicho ni kichafu kioshweUnamla denda demu hata dakika 20 lakini kijiko alichotumia kula huwezi kukitumia hadi ukioshe.
Hivi kwanza inakuaje mtu anaoga vizuri, tena kutumia 'medicated soap' kisha anajifuta kwa kutumia taulo safi, baada ya wiki lile taulo nalo linakuwa chafu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kweli asprinUnamnyonya mwanamke K afu unatumia Kondom kumgegeda...
Yani dushe linalindwa kuliko ulimi na mdomo??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ah ah ah ah ah ah ah Bonge La Point
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shikamoo miss chagaunapenda mademu wakali wakati wewe ni bahili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mpaka hapo ushanikosa!!! Yaani mimi ndo nikufuate PM!?
MmmhBado unampenda Daby au umeshabadili mawazo??
unapenda hela za wanaume halafu kutoa papuchi hutaki! hivi kwanini?unapenda mademu wakali wakati wewe ni bahili