Kuna Mambo Yanashangaza

Kuna Mambo Yanashangaza

Watu walioendelea hawatumii leso kufutia makamasi... Kuna tissue/wipes za kazi hiyo. Unatumian once na kutupa
....
Unaosha kuondoa vijidudu visivyoonekana kwa macho... Katika kutoa maganda vijidudu hivyo vina uwezo wa kuingia kwende ndizi. Ni bora kua salama tu!
....
Condom si za kuzuia magonjwa tu mkuu!!! Ata mimba zisizotarajiwa
....
Kwanini mtu atumie maji ya bafuni kuswaki? Huyo ana yake!!!
....
Unanawa na sabuni ukitoka kula kutoa harufu ya chakula mkononi... Hamna anaependa kutembea njiani huku mikono inanuka samaki au nyama
....
Mda mwingine watoto wa kike wakiwa wenyewe chumbani wanapenda kujiachia... Yaani kua huru! Atavua sketi na kubaki na chupi au anajifunga kanga tu!!! Ko inabidi umpe mda ajistiri
Iv Unajua Mi Nakupenda
 
Unamla denda demu hata dakika 20 lakini kijiko alichotumia kula huwezi kukitumia hadi ukioshe.

Hivi kwanza inakuaje mtu anaoga vizuri, tena kutumia 'medicated soap' kisha anajifuta kwa kutumia taulo safi, baada ya wiki lile taulo nalo linakuwa chafu.
Km alikitumia SAA 7 mchana kimekaa mpaka SAA 11 hicho ni kichafu kioshwe
Ila km ni papo kwa papo tuko tunakula hainaga kuosha hiyoo tena naweza nikamlisha msosi akautafuna afu nikamwambua anipasie kwa mdomo nimeze mm
 
Back
Top Bottom