Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna kiwango kikipitiliza cha kujipendekeza mpaka kinakosekana cha kujipendekeza.
Kuna siku mufti zuberi akiitisha wanahabari na mnukuu maneno yake kuwa samia kaandikwa kwenye quruan raisi wa tanzania.
Cha kujiuliza ni hii Quruan ambayo ijawahi kuchezewa wala kubadilishwa.
Ila cha kushangaza hakuna kiongozi wa upande wa waislamu aliweza kumpinga wala kumwambia umekosa sana.