Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wakati police 2013 wanavunja milango na kuondoka na wanaume Mtwara mtawala alikuwa mwanamke?Kuongozwa na mwanamke ni laana.
Nilifika muhesi 2010 September kuuza madini niliyatoa MbwemkuluNipo muhwesi hapa nahangaika na blue suphire ngoja nitaenda usiku kupata habari halisi
Wakati police 2013 wanavunja milango na kuondoka na wanaume Mtwara mtawala alikuwa mwanamke?
Wakati police wanavunja milango na kuondoka na wanaume Liwale 2020 na 2018 mtawala alikuwa mwanamke?
Vipi Zanzibar 2001 wakati police wanavunja milango na kuondoka na wanaume mtawala alikuwa mama yako?
Wewe tahira, ushoga unakusumbua.
Hapo mahali pametanuka tafuta bwana mwingine huyo tayari kwako ni kibamia
Amenikumbusha kipindi cha Musa mambo yalikuwa hivihivi tulikuwa wadogo tukajificha japo ilikuwa kutuuwa sisi watoto wachanga wakiumePolisi wanavunja milango nyumba Hadi nyumba kukamata wanaume,wengi wamekimbilia mashambani.Mwenye taarifa Zaidi atujuze🥺
Kwa hiyo ni ushahidi wako wa kusikia? Mahakama na waheshimiwa Majaji wameandikaTaarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa Kuna mapambano kati ya wananchi na Polisi Kijiji Cha Mbesa kata ya Mbesa, Tarafa ya Nalasi,Wilaya ya Tunduru, jimbo la Tunduru kusini.
Polisi wanavunja milango nyumba Hadi nyumba kukamata wanaume,wengi wamekimbilia mashambani.Mwenye taarifa Zaidi atujuze.
How mkuu fafanua!Lawama zote kwa Magufuli, ndiye ametufikisha huku.
Mbona umetokwa na povu,nyie ndo mnalamba asali 24hrsWakati police 2013 wanavunja milango na kuondoka na wanaume Mtwara mtawala alikuwa mwanamke?
Wakati police wanavunja milango na kuondoka na wanaume Liwale 2020 na 2018 mtawala alikuwa mwanamke?
Vipi Zanzibar 2001 wakati police wanavunja milango na kuondoka na wanaume mtawala alikuwa mama yako?
Wewe tahira, ushoga unakusumbua.
Hapo mahali pametanuka tafuta bwana mwingine huyo tayari kwako ni kibamia
Mvunjaji yeyote ni mwizi/kibakaHapo kwenye kuvunja nyumba lazima waibe
context ya clip umeielewaje? maana mtu anataka kukamatwa na polisi halali kabisa wenye uniformHii inchi ishageuka kuwa ya waaasii...ndyo maana mwanamke kwangu ctaki hata story nae .. Maghufur pumzka kwa amani Ila umetufikisha hapa