Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

Kwanza anasemaga mi mwanaume hawezi nitongoza nikakataa na anashangaaga kabisa akijua fulani ananitaka na simtaki anasema na wewe unajishaua.

Una rafiki mwenye akili sana. Anajua maana ya jembe alilopewa na jinsi ya kulitumia. Kwa nini afe azikwe jembe lioze bure huku kuna wanaolitamani?
Wape watu wenye njaa zao wakufaidi kabla siku hazijaja utakaposema Laiti ningelijua nikagawa sukari hii kabla haija expire.
Acha ubahili wako unataka kumuambukiza roho mbaya mwenzio.
 
kwani ni lazima uwe na marafiki
 
Mimi ninachokiona hapo wewe Mzigua unakuwa na malengo na hao watu au huyo mtu sema unazile za ngoja nimsome kwanza au ile kitu wazungu wanaita hard to get. Sasa huyo rafiki yako mkifuatana nae yeye hana hizo pale wewe ambapo unapawekea mikakati ya muda mrefu huyo rafiki yako anamaliza kwa mikakati ya hapa kazi tu. Lazima unune na kumtangaza mwenzio kuwa hana tabia mzuri.
 
Naona ile ofa inakaribia niliyokuahidi nipe mda kidogo.. Lakini usisahau kuja na huyo rafiki yako maana wewe ndo ulinipiga chini angalau nije nipunguze machungu au unasemajee? Na usipokuja nae hapo kale kaneno kawivu ndo nitakapigilia hapa.

**Mpemba halisi**
 
Dah....ajabu sana....aliwe mwingine...alie mwingine...😎😛
 
Nitakua nakuonea wivu wewe au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niamini mimi nikimtaka mtu sinaga za kujisubirisha sijui nini. Kwanini nijibanie sasa vitu vizuri.. ni tabia yake hiyo na nilishamuelewa ila nilimwambia watu ninaowaheshimu usiharibu tukaonekana wale wale ndo maana hata alivyolala na huyo hakuniambia sababu anajua amevunja ahadi yetu. Yuko na mwanaume katika hao ila huyo ni kama shemeji yake bado akapita nae na hapo ndo sijapenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…