Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

Mi namtaka learned sister, D, PW, wale moms-to-be, yule aliyekaa na nephew L akazibwa sura huku cleavage inaonekana, nawataka wale vibonge vibonge, nawataka wale wa vicoba, na wengineo ambao sijawatia [machoni] bado.
 
ndege wanaofanana huruka pamoja unaonekana wazi hayo majamaa yanayocheza mpira yamekukula yote kwa wakatitofauti na ambao bado basi wamewahi kuambulia hata denda FULLSTOP
Si ajabu ni yeye kawamaliza! Au anajisafisha kwa danga jipya
 
She needs prayer
Sio tamaa. Anapenda sex. Ni wale wanawake akiona mwanaume anachanganyikiwa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajiamini sisi kwetu tunasema ana mdudu wa chini!!!
Na ana kashape flan kazuri na wala sio mbaya. Ana tatizo la kisaikolojia na nilimwambiaga akiendelea kujichukulia ni wa ajabu ipo siku atakuja kujiua sababu haoni thamani ya kuwa yeye wakati ni mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi aliekuaga bf wala hakua anaogopa urafiki wangu na wanaume. Mpenzi wako unaweza ukamkataza mi wangu hakua anamind

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijisifu mzigua inategemea jamaa alikuweka fungu gani cc wanaume tuna mengi mioyoni waweza kuwa hata na mademu sita katika hao wote kuna mmoja tu ndio nafsi yko inashtuka hata mm kuna wapuuzi nshawahi kuwa nao nlikuwa cna muda nao waende wp wakae na nani hadi ucku watajijua wenyewe ila hyu wa ss ndio ctaki kabsaaa mazoea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ni kweli ila kwa hao huwa wanaheshimiana fulani maana ukijulikana unatongoza mwanamke wa mwingine ni bonge la issue. Kuna mdada mmoja alishakuaga na hiyo tabia. Kuna marafiki zetu flan wa kiume alitoka nao kumi kwenye group hadi tukahisi kaathirika anaambukiza. Kumbe wale wakaka walikua wanaambiana kabisa ukitaka mwanamke wa fasta mcheck fulan hawezi kataa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo zetu hizo... Ukishajua demu fulan anapenda hizo mambo ukizidiwa sana unamtafuta tu... Nnao kama wa 3 wanaonisaidiaga kipindi cha shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ooh My God! rafiki yako anamapepo en definitely she need deliverance.. Nipe no yake ni mtoe kwenye vifungo hivyo
 
Back
Top Bottom