Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

Mwachie rafiki yako afurahie utam wa dunia hii. Maisha yenyewe mafupi haya! Au unamuonea wivu?!🤔☹️
 
Tako tu au?angekua flat skrini kama Mimi hapa je?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ana kashape flan kazuri na wala sio mbaya. Ana tatizo la kisaikolojia na nilimwambiaga akiendelea kujichukulia ni wa ajabu ipo siku atakuja kujiua sababu haoni thamani ya kuwa yeye wakati ni mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ni kweli ila kwa hao huwa wanaheshimiana fulani maana ukijulikana unatongoza mwanamke wa mwingine ni bonge la issue. Kuna mdada mmoja alishakuaga na hiyo tabia. Kuna marafiki zetu flan wa kiume alitoka nao kumi kwenye group hadi tukahisi kaathirika anaambukiza. Kumbe wale wakaka walikua wanaambiana kabisa ukitaka mwanamke wa fasta mcheck fulan hawezi kataa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…