Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #81
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]akimuacha hata glass hakuna kugonga tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uache shoga huoni hadi nimeambiwa umetoa tunda wakati wewe umenifichaNimekoma shogaa
[emoji252] [emoji479]
Huo huwaga haupo kwangu. Nina tabia za kwangu peke angu. Nimeshakua na marafiki wa tabia zote ila sijawahi iga tabia ya mtu. Sana sana mtu akiniiga mimi lazima apoteeHuyo rafikiyo ni malaya, au nitumie neno gani mzigua ili kupunguza ukali wa tabia yake?
Angalia tu watu wasije kutumia msemo maarufu, "birds of the same feathers....."
Sawa shemejiMm nayy tutapendana ww nipe no kesho utasikia ananisifia
Mi kweli nakitoa ila naangalia. Yeye hana tatizo bora unao mdude hana shida.Yawezekana we unakitoa kwa step but your friend ye ni kwa kila mkuyenge
SawaaNaomba namimi niwe rafiki ako,nacheza tennis, ukiwa unakuja mazoezi pls usimuache bestie ako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza ukadata akakuacha akaenda kwa ndugu yako ukanilaumu bureMkuu nisababishie namba yake, naapa mbele za mbingu na ardhi sitokutaja wala kukuangusha.
Itakua.Kwa hiyo hafurahii shosti yake kukitendea haki kukojoleo chake !
Utamuona ukirudNaomba na mm namba zake huyo Rafiki yako,hii promo uliyompa imekaa vzr
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Sasa udhaifu wakw akileta kwa watu tunaoheshimiana inakua shughuli
Labda ila sijawahi kutoka na rafiki yangu kwanza hizo hamu hazipogoAkufaae kwa dhiki ndie rafiki
Yani mimi kua na urafiki na mtoto wa kike
Ni sawa na kushika mua kama fimbo ya kutembelea.
Ipo siku ntamtafuna tu urafiki kusaidiana bwana
Kupunguziana genye
Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
Hahaha, ujue tabia ya....Show me your friends.....