Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #41
Wivu wa kitu gani sasa?isije ikawa tu Unamuonea tamaa shogaako in indirect way
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu wa kitu gani sasa?isije ikawa tu Unamuonea tamaa shogaako in indirect way
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"ndege wanaofanana huruka pamoja"
hii kauli kwako naipinga vibaya sana
kwamba kajuana na washkaji juzi tu lakini kafaidi vingi ambavyo we hujawai faidi pamoja na kuwa mwenyeji wake
Huyo Dada noma kuwa makini asije kukuibia na wakwako kweli. Marafiki wengine duuhUzuri ni kwamba alolala nae nishamwambia huyo ni mwanamke wa fulani na hajatulia kama wewe kwahiyo kazi kwako usije ukasema sikukuambia. Ile sumu sidhani basi tu ana genye za kitunguu swaumu. Nishapanga siendi nae kokote kwa watu ninaojua ataharibu.
kuna siku tunakunywa akaniambia huyu mwanaume wako siku ukiniacha nae mwenyewe hata kumbaka nitambaka utanisamehe rafiki yangu maana najua hivi hivi hawezi kunikubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sikuwahi kujua kama una roho mbaya hivi,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]muache mwanamke mwenzio ale ujana,hapo kuna mawili mwambie akuelewa au mkosane,au mtenge uamuzi ni wako,lakini mambo haya n madogo tu si vizuri kuja kumsema hukuHuwa nina marafiki wengi sana wa kiume ama tuseme najuana na wanaume wengi kama marafiki na huwa siwi na mahusiano nao ya kimapenzi kwa sababu ikitokea nikk na uhusino ni rahisi kuvunja urafiki sasa kuepuka hayo huwa wanakua kwenye friend zone.
Sasa nina marafiki zangu wacheza mpira huwa sometimes nikiwa free naenda uwanjani au kama wako sehemh wananiita naenda kwa kugonga glass siku inapita.
Nina rafiki yangu yani hata nimuonye vipi kwamba hapa behave yani atanizunguka tu atoke na marafiki zangu wa kiume. Kuna siku nilimwambia twende uwanjani rafiki zangu wana mechi akaja tukaenda. Kutoka pale akatongozana na mmoja wapo nikamwambia kabisa kama ni huyo umeamua uwe nae awe huyo sitaki waanze kusema marafiki zake S hawajatulia.
Kwahiyo nikawa najua yule ndo mwanaume wake.
Sasa last Sunday waliniita walipokua na nilikua na huyo rafiki angu akaniambia twende wote sikumkatalia. Kufika na yule bwana ake alikuwepo ila kulikua na mkaka mwingine na gf wake(rafiki yangu) wamekaa nae karibu. Kumbe wakapeana namba. Sasa juzi yule mkaka ananipigia ananiambja alikua na rafiki angu yule ambae tulikua nae na bwana ake kuwa ameshatoka nae. Yani nilijisikia vibaya kuliko maelezo. Rafiki angu kaona kabisa yule kaka yuko na rafiki angu ila bado na yeye akajipeleka akaliwa.
Siku ingine tena niliendaga nae kwa rafiki angu aliniita. Kufika tukakuta yule rafiki angu yuko na wafanyakazi wenzie. Kumbe akachukua na namba za rafiki zake akaanza kuchat nao na akalana nao. Nimemsema mpaka nimechoka mpaka saa nyingine ananuna kwanini sehemu zingine siendi nae namwambia sababu ya tabia yako ila habadiliki.
Kwanza anasemaga mi mwanaume hawezi nitongoza nikakataa na anashangaaga kabisa akijua fulani ananitaka na simtaki anasema na wewe unajishaua.
Serious hii tabia yake inanikera na natamani nimwambie najua kalala na bwana wa rafiki yangu ila naona kama atanuna lakini sasa nawaza story zikienda kwa wale wakaka wacheza mpira si wataniona mimi sio sababu ya rafiki yangu anavyowamix.
Sent using Jamii Forums mobile app
nyuma yako nipo
akimuacha hata glass hakuna kugonga tena 😂😂😂😂Siku nikikuita kugonga glass uje nae tafadhali!
Cha msingi uhai tu!
- KANA -
Yawezekana we unakitoa kwa step but your friend ye ni kwa kila mkuyenge
Kabisa Niko kwa Shayo, napitia comments za wadau ,taratibuu huku kinywaji kinashuka