Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli bwana. Nina marafiki japo wananitaka kila leo ila moyo wangu ukishamchagua mtu awe rafiki hata afanye nini siwezi kumtamaniHakuna urafiki kati ya Me' na Ke'
We endelea kujidanganya eti friend zone'..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina k ya mchezo. Nilitokaga na mmoja tena wakati niko form four yakaishia hapo. Na wao wanajuaga nilishatoka na rafiki yao japo wananitaka ila siwezi nishachagua wawe marafikindege wanaofanana huruka pamoja unaonekana wazi hayo majamaa yanayocheza mpira yamekukula yote kwa wakatitofauti na ambao bado basi wamewahi kuambulia hata denda FULLSTOP
Sio mbaya hata sema ana inferiority complex. Anasemaga yeye sio mzurii hana tako ndo maana wanaume hawakai nae.Rafiki yako ni kisu??..mana Hii mara nyingi ni tabia ya wanawake wabovu..Hii inawapa ahueni wajione nao wamo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kauli ya uongo kabisa. Mtu asie na akili ndo ataiamini."ndege wanaofanana huruka pamoja"
hii kauli kwako naipinga vibaya sana
Hahahahahaa.. mbona na nie nakitoaMama huruma uyo na anautendea haki ule msemo wa kumnyima mtu kitu ulichopewa bure ni dhambi
Mbona nahisi kama kuna kaharufu ka wivu? Hebu mwache shosti yako aitendee haki K yake bhana.Huwa nina marafiki wengi sana wa kiume ama tuseme najuana na wanaume wengi kama marafiki na huwa siwi na mahusiano nao ya kimapenzi kwa sababu ikitokea nikk na uhusino ni rahisi kuvunja urafiki sasa kuepuka hayo huwa wanakua kwenye friend zone.
Sasa nina marafiki zangu wacheza mpira huwa sometimes nikiwa free naenda uwanjani au kama wako sehemh wananiita naenda kwa kugonga glass siku inapita.
Nina rafiki yangu yani hata nimuonye vipi kwamba hapa behave yani atanizunguka tu atoke na marafiki zangu wa kiume. Kuna siku nilimwambia twende uwanjani rafiki zangu wana mechi akaja tukaenda. Kutoka pale akatongozana na mmoja wapo nikamwambia kabisa kama ni huyo umeamua uwe nae awe huyo sitaki waanze kusema marafiki zake S hawajatulia.
Kwahiyo nikawa najua yule ndo mwanaume wake.
Sasa last Sunday waliniita walipokua na nilikua na huyo rafiki angu akaniambia twende wote sikumkatalia. Kufika na yule bwana ake alikuwepo ila kulikua na mkaka mwingine na gf wake(rafiki yangu) wamekaa nae karibu. Kumbe wakapeana namba. Sasa juzi yule mkaka ananipigia ananiambja alikua na rafiki angu yule ambae tulikua nae na bwana ake kuwa ameshatoka nae. Yani nilijisikia vibaya kuliko maelezo. Rafiki angu kaona kabisa yule kaka yuko na rafiki angu ila bado na yeye akajipeleka akaliwa.
Siku ingine tena niliendaga nae kwa rafiki angu aliniita. Kufika tukakuta yule rafiki angu yuko na wafanyakazi wenzie. Kumbe akachukua na namba za rafiki zake akaanza kuchat nao na akalana nao. Nimemsema mpaka nimechoka mpaka saa nyingine ananuna kwanini sehemu zingine siendi nae namwambia sababu ya tabia yako ila habadiliki.
Kwanza anasemaga mi mwanaume hawezi nitongoza nikakataa na anashangaaga kabisa akijua fulani ananitaka na simtaki anasema na wewe unajishaua.
Serious hii tabia yake inanikera na natamani nimwambie najua kalala na bwana wa rafiki yangu ila naona kama atanuna lakini sasa nawaza story zikienda kwa wale wakaka wacheza mpira si wataniona mimi sio sababu ya rafiki yangu anavyowamix.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wote. Wako wawili tuu. Mmoja alishaokoka akaacha kuwa mlezi wa wanaSiku nyingine uje na rafiki yako kwangu inaonekana rafiki zako wako very friendly.
Uzuri ni kwamba alolala nae nishamwambia huyo ni mwanamke wa fulani na hajatulia kama wewe kwahiyo kazi kwako usije ukasema sikukuambia. Ile sumu sidhani basi tu ana genye za kitunguu swaumu. Nishapanga siendi nae kokote kwa watu ninaojua ataharibu.Huyo rafiki yako hakufai,anaweza kuwagombanisha hao rafiki zako wa kiume na kisha wao wakakuona kua wewe ndio sababu!
Kitu kingine isije ikawa huyo rafiki yako anasambaza ile sumu makusudi kabisa? Kua makini sana!
Kichaa siku zote hapewi rungu kwenye jumba la vioo!
Na wewe unataka ulelewe na mlezi wa wana? hatakukataa hana shidaAcha roho mbaya