Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huyu ngoja nipite nae mimi kwanza.Naomba namimi niwe rafiki ako,nacheza tennis, ukiwa unakuja mazoezi pls usimuache bestie ako!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hafurahii shosti yake kukitendea haki kukojoleo chake !Mbona nahisi kama kuna kaharufu ka wivu? Hebu mwache shosti yako aitendee haki K yake bhana.
Naamini wametuelewaKabisa Niko kwa Shayo, napitia comments za wadau ,taratibuu huku kinywaji kinashuka
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Sawa dada SalmaHuwa nina marafiki wengi sana wa kiume ama tuseme najuana na wanaume wengi kama marafiki na huwa siwi na mahusiano nao ya kimapenzi kwa sababu ikitokea nikk na uhusino ni rahisi kuvunja urafiki sasa kuepuka hayo huwa wanakua kwenye friend zone.
Sasa nina marafiki zangu wacheza mpira huwa sometimes nikiwa free naenda uwanjani au kama wako sehemh wananiita naenda kwa kugonga glass siku inapita.
Nina rafiki yangu yani hata nimuonye vipi kwamba hapa behave yani atanizunguka tu atoke na marafiki zangu wa kiume. Kuna siku nilimwambia twende uwanjani rafiki zangu wana mechi akaja tukaenda. Kutoka pale akatongozana na mmoja wapo nikamwambia kabisa kama ni huyo umeamua uwe nae awe huyo sitaki waanze kusema marafiki zake S hawajatulia.
Kwahiyo nikawa najua yule ndo mwanaume wake.
Sasa last Sunday waliniita walipokua na nilikua na huyo rafiki angu akaniambia twende wote sikumkatalia. Kufika na yule bwana ake alikuwepo ila kulikua na mkaka mwingine na gf wake(rafiki yangu) wamekaa nae karibu. Kumbe wakapeana namba. Sasa juzi yule mkaka ananipigia ananiambja alikua na rafiki angu yule ambae tulikua nae na bwana ake kuwa ameshatoka nae. Yani nilijisikia vibaya kuliko maelezo. Rafiki angu kaona kabisa yule kaka yuko na rafiki angu ila bado na yeye akajipeleka akaliwa.
Siku ingine tena niliendaga nae kwa rafiki angu aliniita. Kufika tukakuta yule rafiki angu yuko na wafanyakazi wenzie. Kumbe akachukua na namba za rafiki zake akaanza kuchat nao na akalana nao. Nimemsema mpaka nimechoka mpaka saa nyingine ananuna kwanini sehemu zingine siendi nae namwambia sababu ya tabia yako ila habadiliki.
Kwanza anasemaga mi mwanaume hawezi nitongoza nikakataa na anashangaaga kabisa akijua fulani ananitaka na simtaki anasema na wewe unajishaua.
Serious hii tabia yake inanikera na natamani nimwambie najua kalala na bwana wa rafiki yangu ila naona kama atanuna lakini sasa nawaza story zikienda kwa wale wakaka wacheza mpira si wataniona mimi sio sababu ya rafiki yangu anavyowamix.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umezeeka babu eehMbona nahisi kama kuna kaharufu ka wivu? Hebu mwache shosti yako aitendee haki K yake bhana.
Hata mie nasemaga ila naangaliaYaan wadada kama nyie ndio mnatuharibiaga dili za kupiga papuchi za bure....mm najipendea wale wadada wanaotusaidia,utawasikia "si udeti nae tu,mbona mwanaume mzur huyo" we unaharibu dili
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol. Vingi dudu??kwamba kajuana na washkaji juzi tu lakini kafaidi vingi ambavyo we hujawai faidi pamoja na kuwa mwenyeji wake
Labda abake. Hamna mwanaume wangu ambae ni type yaoMzigua90 ukiendelea kumchekea huyo rafiki ako atalala hadi na bwana ako ooohoooo me mwanaume na nnajua wanaume tulivyo
Kwangu nilimuwekaga nae mmoja tu na yule pia asingeweza toka nae.Huyo Dada noma kuwa makini asije kukuibia na wakwako kweli. Marafiki wengine duuh
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya kisa nini sasa? Yeye mwenyewe namsemaga mbona. Ila hili limeniuma ujue. Najitahidi sana kuprotect rafiki zangu na mafisi sababu nawajua wanaongeagaMi sikuwahi kujua kama una roho mbaya hivi,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]muache mwanamke mwenzio ale ujana,hapo kuna mawili mwambie akuelewa au mkosane,au mtenge uamuzi ni wako,lakini mambo haya n madogo tu si vizuri kuja kumsema huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaaaahuyo dada ni living legend... tumpe tuzo ya mtoa huduma za kimwili aliyetukuka
Usijali unempataSiku nikikuita kugonga glass uje nae tafadhali!
Cha msingi uhai tu!
- KANA -