Mtu akiwa anakaribia menopause ndo hatakiwi kujali?Yani kwa umri wako unakaribia kuanza menopause bado unawaz vitu kama ivo? Kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajatulia wanataka kuosha rungu kila sehemu'Mwanaume mshenzi mshenzi' yukoje ,yaani washenzi washenzi lkn ni Rafiki zako
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Basi hongeraWanaume wote tuko hivyo...hata mimi mshenzimshenzi...
Ujatakiwa kuwa "mentor" kwa wajukuu na watoto sasa hivi na sio kupost shuzi huku....
Si ajabu ni yeye kawamaliza! Au anajisafisha kwa danga jipyandege wanaofanana huruka pamoja unaonekana wazi hayo majamaa yanayocheza mpira yamekukula yote kwa wakatitofauti na ambao bado basi wamewahi kuambulia hata denda FULLSTOP
Hajiamini sisi kwetu tunasema ana mdudu wa chini!!!Sio tamaa. Anapenda sex. Ni wale wanawake akiona mwanaume anachanganyikiwa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ana kashape flan kazuri na wala sio mbaya. Ana tatizo la kisaikolojia na nilimwambiaga akiendelea kujichukulia ni wa ajabu ipo siku atakuja kujiua sababu haoni thamani ya kuwa yeye wakati ni mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Usijisifu mzigua inategemea jamaa alikuweka fungu gani cc wanaume tuna mengi mioyoni waweza kuwa hata na mademu sita katika hao wote kuna mmoja tu ndio nafsi yko inashtuka hata mm kuna wapuuzi nshawahi kuwa nao nlikuwa cna muda nao waende wp wakae na nani hadi ucku watajijua wenyewe ila hyu wa ss ndio ctaki kabsaaa mazoea!mi aliekuaga bf wala hakua anaogopa urafiki wangu na wanaume. Mpenzi wako unaweza ukamkataza mi wangu hakua anamind
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hujagundua bado kuwa rafiki yako ni kicheche? Kama bado mpeleke kwa mume wako.....Labda kwa watoto. Mie nafanya nikitaka na sio sababu niko karibu na mwanaume
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mzigua90 sizani kama ameolewa,kwa mke wa mtu huwezi kuwa na urafiki na mtu kama huyo alafu unamchekea unakuja kumsema jf[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa hiyo hujagundua bado kuwa rafiki yako ni kicheche? Kama bado mpeleke kwa mume wako.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo zetu hizo... Ukishajua demu fulan anapenda hizo mambo ukizidiwa sana unamtafuta tu... Nnao kama wa 3 wanaonisaidiaga kipindi cha shidaInawezekana ni kweli ila kwa hao huwa wanaheshimiana fulani maana ukijulikana unatongoza mwanamke wa mwingine ni bonge la issue. Kuna mdada mmoja alishakuaga na hiyo tabia. Kuna marafiki zetu flan wa kiume alitoka nao kumi kwenye group hadi tukahisi kaathirika anaambukiza. Kumbe wale wakaka walikua wanaambiana kabisa ukitaka mwanamke wa fasta mcheck fulan hawezi kataa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuwaje anaendelea kuwa rafiki yako? You must have something in common, hamzidiani kwenye harakati za dudu kweli? Nimeuliza tu!
Jidanganye kwamba kuna mkate mgumu mbele ya chai ww hakikisha tu hapati nafasi akipata nafasi kidogo tu imekula kwako yaani