Kuna Marafiki Sio wa Kwenda Nao Sehemu

Mi namtaka learned sister, D, PW, wale moms-to-be, yule aliyekaa na nephew L akazibwa sura huku cleavage inaonekana, nawataka wale vibonge vibonge, nawataka wale wa vicoba, na wengineo ambao sijawatia [machoni] bado.
Hahahahahaaa.. sasa mbona unawataka wote NN?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananichosha. Wanaona kuelezea alichofanya rafiki yangu basi mimi najikuta malaika siliwi. Naliwa yes ila siliwi hovyo. Na naweza nikaliwa na mwanaume mpya kila siku nikitaka ila sio wanaojuana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!brand new kila siku![emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3]jamani yani jf kuna watu wajuaji!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuaga wanatafuta uzoefu wa kuingia Taifa,wanapitia ndondo kwanza ko muwaache watu wa dizain hzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…