Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

😂😂😂😂 kwa hiyo kuondoa changamoto ya meli nyingi bandarini ni kuomba meli zisije? Kumbe meli zikiwa nyingi ni changamoto hahaha! Waarabu wanapaswa kumtandika viboko Challamila

Hawa wanasiasa wa CCM katika wadhifa wa mkuu wa mkoa wanashangaza sana .
 
Tunachotaka cc watanzania ni ufanisi wa bandari. Hayo mengine hayatuhusu
Nadhani hata TPA yenyewe ipitie transformation.
Watu ndio nguzo kuu ya Bandari zetu.
DP atawatumia zaidi wafanyakazi wananchi LAKINI wenye vigezo vya utendaji uliotukuka,na si muda mrefu watafikia viwango vya DP World.Jambo muhimu Trade union ya wafanyakazi kukaa na menejimenti mpya kuangalia maslahi yao.
 
Kinadharia Iko hivyo Bali kiuhalisia haikk hivyo!!
 
Mbona ni kawaida tu, na hamna mntakachofanya
Waarabu walinunua Ferry kubwa nchini UK na kufukuza wafanyakazi wote 900, serikali ikajifanya kuingilia, ikapelekwa mahakamani na kuangukia pua, na wafanyakazi wote walifukuzwa na kuajiriwa wafilipino

Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.

View attachment 2923488

View attachment 2923489

Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.

Pia, soma: Hakuna Mgomo katika bandari ya Dar Es Salaam
Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja kwa kasi kutanzua sintofahamu
 
Back
Top Bottom