Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

Tetesi: Kuna mashaka Bandarini. Serikali itoe tamko ya kinachoendelea ili kama yanayoripotiwa ni tetesi yasilete taharuki

Ana muandaa mwijaku na Kitenge kuja kuwajibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utasikia mambo ni shwariiiiiiiiiiiiiiiiiii bandarini….
Nakumbuka hadi Steve Nyerere aliandaa presss kutetea huu mkataba na mwisho akasema DPW wakija internet itakuwa bure [emoji2]
 
Umeiweka vizuri. Watanzania kila wakati wanafikiria "upigaji"
Hakika mkuu,
Hatujuilizi kwa nini makampuni yenye ufanisi wanakuwa na wahindi kwa kiasi kikubwa? Penye mtz kuna figisu, upigaji nk.
 
#HABARI Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini TPA imekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni kuhusu kudorora kwa utendaji kazi katika kuhudumia meli na shehena katika Bandari ya Dar es Salaam kulikohusishwa na mgomo wa wafanyakazi wenye madai mbalimbali ikiwemo kufutiwa mikataba yao ya kazi na kusema hakuna mgomo wala hujuma zozote bandarini hapo.

Aidha taarifa hiyo imeeleza kuwa hakuna mtumishi yeyote wa TPA aliyesitishiwa mkataba wake kwa sababu zozote zile na kwamba hata menejimenti ya mamlaka hiyo inatimiza ipasavyo jukumu lake la kusimamia kikamilifu utendaji wa idara ya vitengo vyote vya operesheni za kibandari katika Bandari ya Dar es Salaam kwa saa 24 ili kuhakikisha huduma zinatolewa kwa weledi, kasi na ufanisi wa hali ya juu.

TPA imeongeza kuwa wote watakaobainika wanahusika na kusambaza taarifa za upotoshaji juu ya Bandari ya Dar es Salaam watachukuliwa hatua kali za kisheria.

#EastAfricaTV
 
Hakika mkuu,
Hatujuilizi kwa nini makampuni yenye ufanisi wanakuwa na wahindi kwa kiasi kikubwa? Penye mtz kuna figisu, upigaji nk.
Au angalia kwa nini makampuni ya Shoprite, Game, Nakhumat na Uchumi Supermarket yalikufa ilihali nchi za majirani bado yanapeta.

Unaingia ĜAME enzi hizo mfanyakazi anakuwahi kukuambia utauziwa kitu unachotaka kwa nusu bei. Ila wao uwape robo. Hivyo kitu cha Tsh 1,000,000 unalipq Tsh 750,000 na inayoingia kwa Game ni Tsh 500,000 tu
 
Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.

View attachment 2923488

View attachment 2923489

Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.

Pia, soma: Hakuna Mgomo katika bandari ya Dar Es Salaam
Mtoa mada acha uzushi

View: https://www.instagram.com/p/C4FP1u0talI/?igsh=MWs2YnJ3Nm9mZWIxcA==
 
Sina hakika kama habari hizo ni za Kweli. Mpaka sasa hivi Wafanyakazi hawajasainishwa Mikataba kama Wafanyakazi walivyokubaliana na Mwajiri!
Katika Mikataba hiyo kila mfanyakazi atapewa kuchagua:
1. Achukuliwe na DP World au 2. Abaki TPA au 3. Apewe Mafao yake aondoke.
SERIKALI ILISHASEMA AJIRA ZA WAFANYAKAZI ZITALINDWA!
 
DP wameamua kufuata ushauri wa Dr. Mwiny kule zinj
 
Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.

View attachment 2923488

View attachment 2923489

Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.

Pia, soma: Hakuna Mgomo katika bandari ya Dar Es Salaam
Unafikiri wakati TEC wanaandika waraka walikua wamelewa!!!?

Walijua hatma yake!

Mi niseme tu,Moja kati ya jukumu kubwa la dola (the state) kwenye serikali ijayo no kuirejesha hii Bandari kwenye mikono ya watz!!

Mungu awasamehe wote waliohusika kuuza Bandari!!
 
Keep in mind moja ya sababu ya kuuza bandari ni kuwa wezi umezidi bandarini
Unaweza kuuza Mali isokuwa Yako?

Leo unaweza kuamka na kuanza kutafuta mteja uuze Mali za Jirani Yako?
 
Mimi ninachojua,

Wananchi wataamka na kuwafukuza watesi wote,

Ule uchawi wa kuwapumbaza wenyenchi umeisha nguvu😀

Tusubiri.
 
Sisi ndio wa Tz wenzetu wakiandaman maisha magumu tunawabeza

Tukisema katb mpya - wao wanajbu katb mpya ndio itayoketa huduma bora
Watanzania washenzi na wapumbavu sana! Zaidi ya ngono na mipira kwao hakuna mambo mengine ya msingi zaidi ya hayo. Huyo anayeomba asaidiwe kupiga kelele yeye hana mdomo? Au sauti yake imeumbwa kubishania mambo ya akina Pacome hadi wanachomana visu? STUPID!!!
Sijui ni lin akili itatukaa sawa maana kama hadi dada wa Taifa alituchoka kwishaaaa kbsaa


Cc wa Tanganyika bado tunaomba haki zetu tupewe badala ya kudai
 
Mama anaupiga mwingi!

Cc: Faiza Fix

Bcc: Lucas Mbwa Wa Shamba.
 
Means muajir wao wa zaman ameingia mkatab na DP world
DP word ndan ya makubaliono hakukuw na kipengele kinachohus currently employer

Yaan Nyumba imeuzwa wapangaji hawajamlz mikataba ya Pango
 
Back
Top Bottom