ππππ kwa hiyo kuondoa changamoto ya meli nyingi bandarini ni kuomba meli zisije? Kumbe meli zikiwa nyingi ni changamoto hahaha! Waarabu wanapaswa kumtandika viboko Challamila
Nadhani hata TPA yenyewe ipitie transformation.Tunachotaka cc watanzania ni ufanisi wa bandari. Hayo mengine hayatuhusu
Kinadharia Iko hivyo Bali kiuhalisia haikk hivyo!!Nadhani hata TPA yenyewe ipitie transformation.
Watu ndio nguzo kuu ya Bandari zetu.
DP atawatumia zaidi wafanyakazi wananchi LAKINI wenye vigezo vya utendaji uliotukuka,na si muda mrefu watafikia viwango vya DP World.Jambo muhimu Trade union ya wafanyakazi kukaa na menejimenti mpya kuangalia maslahi yao.
Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja kwa kasi kutanzua sintofahamuNimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.
View attachment 2923488
View attachment 2923489
Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.
Pia, soma: Hakuna Mgomo katika bandari ya Dar Es Salaam