Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Nakumbuka hadi Steve Nyerere aliandaa presss kutetea huu mkataba na mwisho akasema DPW wakija internet itakuwa bure [emoji2]Ana muandaa mwijaku na Kitenge kuja kuwajibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utasikia mambo ni shwariiiiiiiiiiiiiiiiiii bandarini….
Mzee wa DP worlddddddddd leta ukweli sheikh 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hakika mkuu,Umeiweka vizuri. Watanzania kila wakati wanafikiria "upigaji"
Au angalia kwa nini makampuni ya Shoprite, Game, Nakhumat na Uchumi Supermarket yalikufa ilihali nchi za majirani bado yanapeta.Hakika mkuu,
Hatujuilizi kwa nini makampuni yenye ufanisi wanakuwa na wahindi kwa kiasi kikubwa? Penye mtz kuna figisu, upigaji nk.
Mtoa mada acha uzushiNimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.
View attachment 2923488
View attachment 2923489
Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.
Pia, soma: Hakuna Mgomo katika bandari ya Dar Es Salaam
Yaani umwachie Ng'ombe anyonyeshe maziwa mtoto wa fisi?Changes hurts
Yule anafaa kuwasimamia makuli hapa bandarini, nitamteua kuwa kuli mwandamizi.😂😂😂😂😂 Mkuu tunaomba Chalamila akisogelea bandari yako mumchape viboko
Wewe mbuzi acha uzushiIngawa umeleta hoja kishabiki kama ulivyo mpumbavu.
Hoja ilitaka serikali itoe tamko amid hizi tetesi zinazosambaa. Ndo maana nikaweka prefix ya TETESI
Mchumi unatuangusha sana kwa undezi wako wa kufikiri
Unafikiri wakati TEC wanaandika waraka walikua wamelewa!!!?Nimepitia mtandao wa X na kukuta mjadala kwenye kurasa wa Martin Maranja M asese almaarufu MMM kuhusu DP World kusitisha mikataba ya wafanyakazi ili kuleta wafanyakazi wao.
View attachment 2923488
View attachment 2923489
Serikali ambayo ni sehemu ya huu mkataba uliopigiwa kelele na wananchi, itoe maelezo kukanusha ama kufafanua kinachoendelea Bandarini kwa sasa.
Pia, soma: Hakuna Mgomo katika bandari ya Dar Es Salaam
Hujajibu swali.Kama walikuwa wanaendekeza uzembe ulitaka wavumiliwe ?
Unaweza kuuza Mali isokuwa Yako?Keep in mind moja ya sababu ya kuuza bandari ni kuwa wezi umezidi bandarini
Sijui ni lin akili itatukaa sawa maana kama hadi dada wa Taifa alituchoka kwishaaaa kbsaaWatanzania washenzi na wapumbavu sana! Zaidi ya ngono na mipira kwao hakuna mambo mengine ya msingi zaidi ya hayo. Huyo anayeomba asaidiwe kupiga kelele yeye hana mdomo? Au sauti yake imeumbwa kubishania mambo ya akina Pacome hadi wanachomana visu? STUPID!!!