Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Dec 30, 2025 #1 Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu. Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili. Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu. Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili. Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
Simeone JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 1,170 Reaction score 1,355 Dec 30, 2025 #2 Fbn said: Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu. Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili. Embu tupate Futuhi ya watoa mikopoView attachment 3522610 Click to expand... Jichanganye ukope hiyo laki ukidhani utarudisha laki na 400 kwa mwezi, hapo ukikopa 100,000 utatumiwa 60000 halafu unaambiwa ulipe 100,000 baada ya siku 14 ile 40000 unaambiwa ni ada. Nina uhakika na ninachoongea nilishawahi kukopa.
Fbn said: Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu. Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili. Embu tupate Futuhi ya watoa mikopoView attachment 3522610 Click to expand... Jichanganye ukope hiyo laki ukidhani utarudisha laki na 400 kwa mwezi, hapo ukikopa 100,000 utatumiwa 60000 halafu unaambiwa ulipe 100,000 baada ya siku 14 ile 40000 unaambiwa ni ada. Nina uhakika na ninachoongea nilishawahi kukopa.