Kuna mauaji ya majeruhi wa maandamano yanaendelea hospitali ya Muhimbili

thegreat1510

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,523
Reaction score
4,040
Kwa bahati mbaya hamna chombo kinachoweza kupewa hii taarifa na kuzuia hili.

Polisi wamejazwa wodi zote za MNH na kila ambulance ikileta watu , basi hao watu wanapewa caring kidogo kisha polisi wanawachukua na kuondoka nao.

Ambapo wote wanaochukuliwa hurudishwa tena lakini wakiwa maiti tayari na kuingizwa mochwari direct.

Hakuna ndugu anaruhusiwa kuja kuwaona kwasasa.
Mochwari inajaa kila siku kisha wanaondoka na maiti na kusafisha kila kitu.

Ni hatari kwa majeruhi wa maandamano kupelekwa hospitali yoyote kwasasa.
 
Sa100 must go
 
HIVI POLISI WANA AKILI YA NAMNA GANI?
 
This is genocide
 
Unawapa watu hofu kwa create fear. Hizi ni propaganda if you don’t have proof no need to lie.
Kuna watu wapumbavu sana. Wanasambaza habari za uongo na kuokota okota. Hawajui inaleta hofu na kupelekea watu wote kujificha vifandani. Na hilo ndilo lengo la huyu mama.
 
1000186742.jpg
 
Back
Top Bottom