Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa

1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa

2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.

Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.

My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.

Stay tuned

 
Ngoja tusubiri tuone yasije kuwa maneno ya uchochezi
 
Haahaaa mwendokasi viwanda hadi kwenye reli.
 
Hofu na wasiwasi wa kutumbuliwa kunatengeneza watumishi ROBOTS na kushusha tija katika utumishi wa umma, japo ni sahihi kutokubeba mizigo isiyo ya lazima, watumbuliwe tu

 
kawaida ya draft kuna panga pangua lkn inategemea na mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…