Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa

1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa

2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.

Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.

My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.

Stay tuned
Time will tell,
 
Mambo yapi hayaendi kama Mh. Rais alivyotaka..? Kwani kuna waziri au Kiongozi yeyote anampinga Mh. Rais..?

Sbb umeanza na tetesi... am waiting..!!
 
Nina mashaka name wale walio uza Mashine za chama Fulani. Hapo pia Luna Escrow
 
Necta wamemaliza kuhakiki vyeti vya form four so kuna THE AOTOMATIC FAGIO linakuja kuanzia Waziri hadi Muhudumu wa ofisi,so stay tuned
 
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa

1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa

2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.

Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.

My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.

Stay tuned
Watajiju awe nape plz
 
Asante kwa porojo za week end
 
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa

1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa

2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.

Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.

My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.

Stay tuned
Acheni watu wafanye kazi kila siku uzushi tu.Ushakutana na magufuli akakulalamikia?Mlizusha makamu kaandika barua ya kujiuzulu eti anafokewa kana kwamba mlikuwepo,fanyeni kazi badala kila siku kupanua masikio kusikiliza umbea Ikulu kuna nini
 
Aliyezusha ni Mwana ccm mwenzenu.
 
Waziri Maghembe aondoke tu, hakuna tija kwenye Tourism

Maghembe ni reactive kwenye matukio, sio pro active

Utalii umekufa kabisa

kumbuka watalii wanaokuja Kuanzia July mpaka November walishabook ticket, No new bookings

Waulizeni KLM, Turkish Airlines, Ethiopian na Qatar pamoja na TTB au TATO
 
Back
Top Bottom