Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Endeleeni kupiga lamuri - bahati mbaya Sheikh Yahaya hayupo tena
 
Hao wakimshinda ajaribu na sisi tuliopo mtaani kuwa Wakurugenzi, manaibu na hata Uwaziri.. Maana hatuna kazi na ujuzi tunao, vyeti vinaoza tu...
 
Siku waziri atakapokuwa anapimwa utendaji wake kulingana na majukumu yake kama yanavyoainishwa katika kila muundo wa wizara husika,tutapiga hatua kubwa sana.
 
Utabiri wangu unaweza kuwa
1.Prof Jumanne Maghembe na
2.January Makamba
 
Aliweka huu uzi kama sio kweli nakupeleka mahakamani kwa kunichafua.
 
Utasikia press release ikisema watapangiwa kazi nyingine.
 
hali mbaya ya uchumi wa nchi, kushuka kwa morali ya watumishi wa umma, viwanda kuwa ndoto ya mchana, lowasana kuendelea kumake headlines kila leo, kununua feni badala ya ndege, chanjo kuisha mahospitalini wakati waziri yupo bize na Dr year. haya ni baadhi ya mambo yanayomtia hasira mkulu na wahusika wakae mkao wa kunyolewa na kupokea mboko za mgongo
 
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa

1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa

2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.

Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.

My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.

Stay tuned
Ngoja nikung'ute vumbi suti yangu ya mtumba,umu safari hii lazima nimo.
 
wale wanaolalamikaga kuwa pesa za mengineyo hazitoshi,wale wanaaopigaga majungu bye bye
 
Back
Top Bottom