Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hapo sasa ndugu yanguUsiongee zaidi....usawa huu kukoholeshwa 7m...unazitoa wp???
Kama yeye ni malaika unatarajia nini?Mkuu anataka kufanya kazi na watu au malaika?
Kwanini sio migulu'ncheemba?
Mawaziri wote wa Afya watagishwe.Prof Maghembe Must leave the office
Mawaziri wote wa Afya watagishwe.
Malaika hana ubavu wa kumtumbua yule...ata kama mamlaka anayo....nahisi yupo kwaajili ya mapinzani.Huyu kaka mkubwa wa hawa jamaa wanao ishi kwenye mabati atapona kweli ?
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa
1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa
2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.
Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.
My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.
Stay tuned[/QUOTE
Labda nahisi watakuwa
1= BOT= Prof..
2= M.U yule Prof ......
3. AF= Dr......
Kuna ule msemo unaosema "USIEMPENDA KAJA"Nahisi Kama mwezi wa kwanza yupo
Comrade umetisha...........Duuh haya ngoja tusubiri kama ni kweli ikiwa kweli Prof Tuesday Mahoe hatabaki