Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Tetesi: Kuna Mawaziri watapanguliwa kazini muda wowote

Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa

1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa

2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.

Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.

My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.

Stay tuned

HUYU NDIYE RAIS TUNAYEMTAKA, SIYE YULE ALIYEACHA UWOZO KILA KONA YA NCHI
 
Na yule anayelala na nguo za jeshi ili apigie picha likitokea tukio la usiku?
 
Acha ujinga wako, kelele unazijua wewe? Wewe ni nani hapa mpaka ujibaraguze kujipa mamlaka usiyokuwa nayo mpum.bavu wewe! Ukiona kimeandikwa kitu usichokipenda pita kimya kimya badala ya
kujibaraguza na kuonyesha ufinyu wa akili yako utadhani wewe ni mmiliki wa Jamii Forums. Huna mamlaka yoyote humu ya
kumchagulia mtu nini
aandike na nini asiandike.

Hahahahahaha haya mkuu ubarikiwe hahahahahaha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani katika miezi sita ya mwanzo ilikuwa active sana na kwa muda mchache tulipata mafanikio makubwa sana. Endapo itaendelea kwa spidi ile ile Tanzania tutafika mbali sana, nowdays mawaziri wamepunguza kasi, wabunge na serikali za mitaa zimepunguza spidi. Viongozi waongeze juhudi na ubunifu kuijenga nchi yetu kwa mafanikio zaidi
 
Huyo mpanguaji angeanza kujiondoa mwenyewe, kwa sababu siyo siri tena nchi imeshamshinda kabaki vitisho tu, ubabe na kibri visivyohusu kitu. Siku ya sita leo hajawajibu barua yao viongozi wa dini walioomba kuongea naye kuhusu mustakabali wa nchi na wiki ya pili sasa hajatia mguu kwenda kuwafariji waliopata maafa ya tetemeko.
Kuhusu viongoz wa dini labda anatafta mwakilishi
 
Serikali ya awamu ya 5 ilipoingia madarakani katika miezi sita ya mwanzo ilikuwa active sana na kwa muda mchache tulipata mafanikio makubwa sana. Endapo itaendelea kwa spidi ile ile Tanzania tutafika mbali sana, nowdays mawaziri wamepunguza kasi, wabunge na serikali za mitaa zimepunguza spidi. Viongozi waongeze juhudi na ubunifu kuijenga nchi yetu kwa mafanikio zaidi
Hivi tunategemea nin kama watu wanafungiwa ndani hawawezi kutoka nje kujifunza nin kinaendelea dunian
 
Back
Top Bottom