nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,250
...BOT....BOT....BOT....escrow....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
keep them surprised and move on.Tengua teua na iendelee
Nikama ramri ivi, ..Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa
1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa
2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.
Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.
My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.
Stay tuned
Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa
1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa
2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.
Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.
My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.
Stay tuned
Mkuu anataka kufanya kazi na watu au malaika?
Huyo mpanguaji angeanza kujiondoa mwenyewe, kwa sababu siyo siri tena nchi imeshamshinda kabaki vitisho tu, ubabe na kibri visivyohusu kitu. Siku ya sita leo hajawajibu barua yao viongozi wa dini walioomba kuongea
naye kuhusu mustakabali wa nchi na wiki ya pili sasa hajatia mguu kwenda kuwafariji waliopata maafa ya tetemeko.
Acha kelele wewe, muda bado sana mpaka 2025, halafu anachukue yule usiompenda mtaisoma wa ufipa, Nchi bado ni kijani tu hatutaki jangwa
Makumba hayumo kweli!!!!
Hii itatokea lini??Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa
1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa
2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.
Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.
My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.
Stay tuned
Lazima mambo yaende kama anavyotaka rais wetu chaguo la Mungu Dr. JPM, tutafika tu, kama hizi ni habari za kweli.Sitaki kutaja majina ila tetesi zilizopo ni kuwa
1 : Mkuu wa taasisi nyeti ya Serikali mmoja ataondolewa
2: Mawaziri wa baadhi ya wizara kupanguliwa.
Ni kutokana na mkuu analalamika mambo hayaendi kama anavyotaka yaende.
My take: pole yenu mtakaopatwa na mtikisiko.
Stay tuned
Kwani muhongo ilikuwaje mbona wagaratia mnasahau au vichwa vya kukuhivi wale mawazir waliotoka kwenye wizara zao kama wataalamu, alafu wakapewa ubunge na uwazir, mfano Dk Mpango, Maige na wengie
wakitumbuliwa wanaendelea kuwa wabunge tu? au wanarudi kwenye utendaji wao wa kazi ?
nakumbuka na naelewa kuwa ukishaapishwa kuwa mbunge, utaendelea na ukomo wako mpka bunge litakapovunjwa..Kwani muhongo ilikuwaje mbona wagaratia mnasahau au vichwa vya kuku