jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Fikra yako mara zote ni kuwa watu wote ni wajinga ispokuwa wewe!!Hata baada ya miaka mitano nayo inaitwa ni siku yoyote.
Jaribuni basi hata kuleta umbea wenye andiko fikirishi na siyo huu wa kiwango cha darasa la nne.
Bwana akurehemu.