Fikra yako mara zote ni kuwa watu wote ni wajinga ispokuwa wewe!!Hata baada ya miaka mitano nayo inaitwa ni siku yoyote.
Jaribuni basi hata kuleta umbea wenye andiko fikirishi na siyo huu wa kiwango cha darasa la nne.
Wewe upo kijijini (unadhani chanika ni mjini?)kama zimetapakaa mjini, MBNA mm cjacikia
Mkuu leo umesema kweli, tena ukweli kabisaaaa...kwa sababu wewe utakuwa uko karibu sana na huo mtambo.Tanzania kuna mtambo wa kupika majungu
Lizaboni; wewe ni nambari wani mwalimu aliyebobea kwa kazi hiyo! Salute!Tanzania kuna mtambo wa kupika majungu
Jamaa anaonekana Ana ndoto kubwa kuliko bosi wake ndio maana yuko kimya ata akipigwa chini juaa jamaa alimsaidia sana kufika hapo alipo maana alikuwa Na nguvuFebruary kama hajawekeza ndio bas tena
Ule wa kwako wa Membe ,Lukuvi na Naibu katibu mkuu kufanya fitina Magufuli asipewe uenyekiti wa ccm ulikua mtambo wa kutotolea sio ?Tanzania kuna mtambo wa kupika majungu
Ahahaha,eti kwamba yupo karibu na mtambo wa umbea!Mkuu leo umesema kweli, tena ukweli kabisaaaa...kwa sababu wewe utakuwa uko karibu sana na huo mtambo.
Can You Put The Link To That Thread,plz?'Why Magufuli
administration misses the point
on government splurge'
tupitie uzi wenye title hiyo hapo juu,huenda tukapata upeo wa kitakachotokea hapo mbeleni au kitakachokaribiana na tabiri hiyo