jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Polisi nendeni haraka!
Kuna kila dalili ya watekaji kufanya yao hapo.
Inauma kumkosa Magufuli!
Kuna kila dalili ya watekaji kufanya yao hapo.
Inauma kumkosa Magufuli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamnaga namba ya dharura ya kupiga kutoa taarifa kama hii?Mlima Salanda Singida
Magufuli ndio alioleta huo umaskini.Polisi nendeni haraka!
Kuna kila dalili ya watekaji kufanya yao hapo.
Inauma kumkosa Magufuli!
watakuwa wanafanya ukarabati wa barabara,hujaona divertion kwa mbele?maana hayo mawe wanatuwekeaga tusifanye uharibifu wakati ukarabati unaendeleaPolisi nendeni haraka!
Kuna kila dalili ya watekaji kufanya yao hapo.
Inauma kumkosa Magufuli!
Sasa kila kitu ikiwa ni Magufuli basi tubadili na jina la nci tuiite Chato.Polisi nendeni haraka!
Kuna kila dalili ya watekaji kufanya yao hapo.
Inauma kumkosa Magufuli!
Unaomba msaada halafu unaanza kutaja marehemu, haya kamfufue aje kutoa hayo mawe.Polisi nendeni haraka!
Kuna kila dalili ya watekaji kufanya yao hapo.
Inauma kumkosa Magufuli!