Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #101
Ndoto ni ndoto, iwe mchana au usikuIzo ni ndoto za kuota mchana, badala ya kuota usiku...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto ni ndoto, iwe mchana au usikuIzo ni ndoto za kuota mchana, badala ya kuota usiku...
Nadhani hivi karibuni kila Mtanzania na ulimwengu mzima kwa ujumla, wameshangazwa na kufadhaishwa na kauli ya Raisi Samia kutoa agizo kwamba madini yaliyoko Serengeti yachimbwe, kwa sababu simba na tembo hawali madini.
Tangazo la raisi Samia
View attachment 3048586
Sasa labda watu wengi wasichoelewa ni kwamba, kwa miaka kadhaa, UAE wamefanya jitihada kubwa ya kutengeneza mazingira ya "Serengeti" huko Dubai, kwa lengo la kukuza utalii wa wanyama pori huko Dubai. Na kila mtu anajua kwamba wengi wa wanyama waliopelekwa Dubai Safari Park wametoka Tanzania, na bado hadi leo wanapelekwa. Hii ni kutia ndani na tembo, simba, viboko, vifaru, nyoka, vinyonga, fisi, ndege, swala, duma, nyani, twiga, kenge, mamba, sokwe, chui, nk. Dubai walichofanya ni kutengeneza kwa gharama kubwa mazingira kama ya Serengeti huko Dubai, kutia ndani na mito, misitu, miamba nk, na kuingiza wanyama kwenye mbuga hii "artificial savanna".
Baadhi ya picha katika Dubai Safari Park ni hizi
View attachment 3048584
Lengo la UAE ni kuteka biashara ya utalii wa wanyama pori, hasa kutoka Afrika, ambayo ndio mshindani mkubwa wa Dubai Safari Park. Hivyo, kwa namna moja au nyingine, Serengeti ikifa, basi Dubai Safari Park itakuwa mdadala mkubwa wa Serengeti.
Athari ya kuchimba madini ndani ya Serengeti ni kuiua Serengeti, na siyo Serengeti tu, bali pia Masai Mara ya Kenya, kwa sababu Masai Mara ni sehemu ya Serengeti. Hivyo hili ni jambo ambalo litaathiri sana utalii wa wanyama pori Tanzania na Kenya, na atakaefaidika ni UAE na Dubai. Kwa hiyo basi, ni jukumu la Watanzania na ndugu zetu Wakenya kuungana na kukosoa na kupinga kwa nguvu zote uamuzi huu wa raisi Samia, kwamba hauna manufaa ya muda mrefu ya nchi zetu, bali manufaa ya muda mrefu ya Dubai. Madini yeyote katika Serengeti yakichimbwa, sana sana yatadumu kwa mika 20-30, na yatakapoisha hakutakuwa tena na Serengeti wala Masai Mara.
Kumbuka, mazingira ya utalii katika Dubai Safari Park ni ya kisasa sana, luxury, lakini bado hawajaweza kutoa ushindani mkubwa kwa Serengeti na Masai Mara. Sasa je, kuna mbinu za makusudi za kuziua Serengeti na Masai mara ili kusiwe na ushindani mkubwa kwa Dubai Safari Park?
Sasa ndio maana tunajiuliza, hili wazo la kuchimba madini katika mbuga ya Serengeti, ambalo kwa muda mrefu TANAPA wamelipinga kwa nguvu zote, ni la raisi Samia mwenyewe, au ushauri kutoka Dubai? Na mnafikiri nani atapewa mikataba ya kuchimba madini ndani ya Serengeti, kampuni toka Dubai? Je atachimba madini hayo kwa lengo la kutoathiri wanyama wa Serengeti?
Jambo hili kwa sasa linahusishwa pia na mabadiliko ya baraza la mawaziri la hivi karibuni, hususa kumuondoa Jerry Slaa katika wizara ya ardhi ambako ameonekana kama kero kwa baadhi ya watu kutia ndani "wawekezaji" toka nchi fulani fulani ambazo sitaki kuzitaja. Pia limemgusa Makamba wizara ya mambo ya nje. Je, wamekuwa kikwazo katika mipango kama hii ambayo inahusishwa na kuiua Serengeti na Masai Mara kwa manufaa ya Dubai?
Tukumbuke documentary ya TANAPA - Serengeti Shall Never Die, chini ya raisi yeyote wa Tanzania.
Kwa wale msioijua Dubai Safari Park bofya hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=us8Sl-w9n20

My brother, tell that to Madam Samia! Anyway, dont waste your breath, alishasema yeye chura hasikii la mtu.Inshu ya Serengeti ni World Heritage Site, Hayo madini sidhani kama yana faida sana kwa sasa kuliko Kulinda iyo Ecosystem ya Serengeti, Hio kitu ni ya kuachana nayo kabisa Kwasababu hata hayo madini hayana interest yoyote na wananchi huu sio wakati wake kabisa
Sina sababu ya kueleza sanaa ila askari pori walizuia watu hao waarabu.Nani amezuia? Sina habari.
Nadhani hivi karibuni kila Mtanzania na ulimwengu mzima kwa ujumla, wameshangazwa na kufadhaishwa na kauli ya Raisi Samia kutoa agizo kwamba madini yaliyoko Serengeti yachimbwe, kwa sababu simba na tembo hawali madini.
Tangazo la raisi Samia
View attachment 3048586
Sasa labda watu wengi wasichoelewa ni kwamba, kwa miaka kadhaa, UAE wamefanya jitihada kubwa ya kutengeneza mazingira ya "Serengeti" huko Dubai, kwa lengo la kukuza utalii wa wanyama pori huko Dubai. Na kila mtu anajua kwamba wengi wa wanyama waliopelekwa Dubai Safari Park wametoka Tanzania, na bado hadi leo wanapelekwa. Hii ni kutia ndani na tembo, simba, viboko, vifaru, nyoka, vinyonga, fisi, ndege, swala, duma, nyani, twiga, kenge, mamba, sokwe, chui, nk. Dubai walichofanya ni kutengeneza kwa gharama kubwa mazingira kama ya Serengeti huko Dubai, kutia ndani na mito, misitu, miamba nk, na kuingiza wanyama kwenye mbuga hii "artificial savanna".
Baadhi ya picha katika Dubai Safari Park ni hizi
View attachment 3048584
Lengo la UAE ni kuteka biashara ya utalii wa wanyama pori, hasa kutoka Afrika, ambayo ndio mshindani mkubwa wa Dubai Safari Park. Hivyo, kwa namna moja au nyingine, Serengeti ikifa, basi Dubai Safari Park itakuwa mdadala mkubwa wa Serengeti.
Athari ya kuchimba madini ndani ya Serengeti ni kuiua Serengeti, na siyo Serengeti tu, bali pia Masai Mara ya Kenya, kwa sababu Masai Mara ni sehemu ya Serengeti. Hivyo hili ni jambo ambalo litaathiri sana utalii wa wanyama pori Tanzania na Kenya, na atakaefaidika ni UAE na Dubai. Kwa hiyo basi, ni jukumu la Watanzania na ndugu zetu Wakenya kuungana na kukosoa na kupinga kwa nguvu zote uamuzi huu wa raisi Samia, kwamba hauna manufaa ya muda mrefu ya nchi zetu, bali manufaa ya muda mrefu ya Dubai. Madini yeyote katika Serengeti yakichimbwa, sana sana yatadumu kwa mika 20-30, na yatakapoisha hakutakuwa tena na Serengeti wala Masai Mara.
Kumbuka, mazingira ya utalii katika Dubai Safari Park ni ya kisasa sana, luxury, lakini bado hawajaweza kutoa ushindani mkubwa kwa Serengeti na Masai Mara. Sasa je, kuna mbinu za makusudi za kuziua Serengeti na Masai mara ili kusiwe na ushindani mkubwa kwa Dubai Safari Park?
Sasa ndio maana tunajiuliza, hili wazo la kuchimba madini katika mbuga ya Serengeti, ambalo kwa muda mrefu TANAPA wamelipinga kwa nguvu zote, ni la raisi Samia mwenyewe, au ushauri kutoka Dubai? Na mnafikiri nani atapewa mikataba ya kuchimba madini ndani ya Serengeti, kampuni toka Dubai? Je atachimba madini hayo kwa lengo la kutoathiri wanyama wa Serengeti?
Jambo hili kwa sasa linahusishwa pia na mabadiliko ya baraza la mawaziri la hivi karibuni, hususa kumuondoa Jerry Slaa katika wizara ya ardhi ambako ameonekana kama kero kwa baadhi ya watu kutia ndani "wawekezaji" toka nchi fulani fulani ambazo sitaki kuzitaja. Pia limemgusa Makamba wizara ya mambo ya nje. Je, wamekuwa kikwazo katika mipango kama hii ambayo inahusishwa na kuiua Serengeti na Masai Mara kwa manufaa ya Dubai?
Tukumbuke documentary ya TANAPA - Serengeti Shall Never Die, chini ya raisi yeyote wa Tanzania.
Kwa wale msioijua Dubai Safari Park bofya hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=us8Sl-w9n20
Nakubali, lakini mtu mwenye mbinu ya kuua Serengeti atatumia hoja kama hizo, kwamba mbona ni kidogo tu? Na unajuaje hayo madini yapo sehemu ndogo tu ya Serengeti? Na ni wakati gani kadiri unavyochimba madini na kukuta yapo mengi, utasema aaah, sasa basi tuishie hapa kwenye kuchimba 50% ya Serengeti?
Point yako ni sawa na kusema nitamchukua dada poa lakini nitagusa tu, kwa hiyo sio tatizo!
Ipigwe maarufu Mzanzibari kuwa rais wa bara, hawana uchungu na Mali za Tanganyika nguruwe hawa
Una hakika kwamba itapatikana pesa nyingi? KalaghabahoNakwenda mbali zaidi ni kwamba kama 10% ya eneo la Serengeti litachimbwa madini basi itapatikana pesa nyingi sana itakayoweza kuendesha nchi bila kuyumba kwa miaka kadhaa, na kama asilimia zitazidi na pesa itaongezeka hivyo ustawi katika jamii utaongezeka.
Tuna hifadhi nyingi sana. Tuna mapori tengefu mengi , Dubai mwenye kieneo kidogo tena artificial hataweza kukompiti na Tanzania kwenye wild tourism labda tu kwasababu ya ujinga wa watu wachache watakaosomamia hizo hifadhi zetu
Nadhani hili linkuja katika kampeni za 2025. Mtu wa Zanzibar akiwa raisi wa Tanzania nchi inapitia katika misukosuko na migongano mingi sana. Na mara nyingi inaua nguvu ya muungano kuliko kuikuza. Labda ni asili ya wanadamu kupendelea kwao - tunajua Magufuli alipendelea Chato na kanda ya ziwa katika miradi na uteuzi, basi huenda Samia hawezi kujizuia kupendelea Zanzibar! Ndio maana watu wanasema, kuwe na serikali tatu, au ka kuwa Zanzibar wana serikali na raisi wao, Raisi wa Tanzania ni lazima atoke bara, kwa sababu kimsingi raisi wa Tanzania ni raisi wa bara!Ipigwe maarufu Mzanzibari kuwa rais wa bara, hawana uchungu na Mali za Tanganyika nguruwe hawa
Kutawaliwa na Rais kutoka nchi jirani ni mapinduzi na uvamizi.Nadhani hili linkuja katika kampeni za 2025. Mtu wa Zanzibar akiwa raisi wa Tanzania nchi inapitia katika misukosuko na migongano mingi sana. Na mara nyingi inaua nguvu ya muungano kuliko kuikuza. Labda ni asili ya wanadamu kupendelea kwao - tunajua Magufuli alipendelea Chato na kanda ya ziwa katika miradi na uteuzi, basi huenda Samia hawezi kujizuia kupendelea
Zanzibar! Ndio maana watu wanasema, kuwe na serikali tatu, au ka kuwa Zanzibar wana serikali na raisi wao, Raisi wa Tanzania ni lazima atoke bara, kwa sababu kimsingi raisi wa Tanzania ni raisi wa bara!