Kuna mchoro Singida Black Stars tunauchora...

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu.

Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain ya Tunisia, Marouene Slimani.

Huu ni mchoro tunauchora kukamilisha picha yetu kamili kwenye msimu wa 2024/25. Na mchoro huu umeanzia kwenye Benchi la Ufundi.

Tutaendelea kuchora kwa umakini na ustadi kisha tutawapatia picha kamili.
 
Kitu cha kustaajabisha, siku tu yule kigogo wenu akiondolewa kwenye kile cheo chake! Na timu nayo utashangaa inaparanganyika siku inayofuata!!
 
Kwa hiyo kwa sasa tusitegemee wachezaji kutoka nchi kama Brazil.Maana wale ni weupe na timu yenu ni mablaki staz!!
 
Mujitahidi msimu ujao mumtoe Mbumbumbu kwenye nafasi ya tatu.
 
Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu.

Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain ya Tunisia, Marouene Slimani.

Huu ni mchoro tunauchora kukamilisha picha yetu kamili kwenye msimu wa 2024/25. Na mchoro huu umeanzia kwenye Benchi la Ufundi.

Tutaendelea kuchora kwa umakini na ustadi kisha tutawapatia picha kamili.
Nyie ni tawi tu kama matawi mengine.Hamna jeuri ya kushindana fair and clear.
Mpo kama kanyaboya tu.
 
Back
Top Bottom