Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu.
Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain ya Tunisia, Marouene Slimani.
Huu ni mchoro tunauchora kukamilisha picha yetu kamili kwenye msimu wa 2024/25. Na mchoro huu umeanzia kwenye Benchi la Ufundi.
Tutaendelea kuchora kwa umakini na ustadi kisha tutawapatia picha kTatizi hizi tiju