changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Ihefu kwanzia ianzishwe mpaka sasa ina miaka mingapi na Simba mara ya mwisho kufungwa goli tano na Yanga ni mwaka gani?Nani kasema hawakustahili?Ihefu lini alifungwa goli 5 kabla hawayanunuliwa na mdhamini?
Simba na,Yanga huwa zinafungana hata goli zaidi ya 5 sio issue.Issue ni mdhamini kutembelea kambi na Ihefu kufungwa 5 inatia shaka.
Kama Simba imeweza kufungwa goli tano, je Ihefu inakipi cha tofauti na Simba ili Yanga ikainunue mechi? Unataka kusema Ihefu ni wazuri zaidi ya Simba na Belouizdad, n.k?