Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Tabota united
Mashujaa FC
Singida Fountain Gate
Kwa usajili waliofanya msimu iliopita na mbwembwe za usajiri WALISTAHILI KUCHUKUA KOMBE.
Nachomaanisha ulichoandika "Kanisa ni lilelile kabadilika padree tu""
#YNWA
Kitu cha kustaajabisha, siku tu yule kigogo wenu akiondolewa kwenye kile cheo chake! Na timu nayo utashangaa inaparanganyika siku inayofuata!!Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu.
Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain ya Tunisia, Marouene Slimani.
Huu ni mchoro tunauchora kukamilisha picha yetu kamili kwenye msimu wa 2024/25. Na mchoro huu umeanzia kwenye Benchi la Ufundi.
Tutaendelea kuchora kwa umakini na ustadi kisha tutawapatia picha kamili.
Hasa Tabora Utd.Tabota united
Mashujaa FC
Singida Fountain Gate
Kwa usajili waliofanya msimu iliopita na mbwembwe za usajiri WALISTAHILI KUCHUKUA KOMBE.
Nachomaanisha ulichoandika "Kanisa ni lilelile kabadilika padree tu""
#YNWA
Hahahahaha km huyo kocha msaidizi mrundi yuko hapo muda tuKweli madalali ndio wanauendesha mpira wetu.
Watu ni wale wale tu wanafanya mzunguko.
Nyie ni tawi tu kama matawi mengine.Hamna jeuri ya kushindana fair and clear.Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu.
Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain ya Tunisia, Marouene Slimani.
Huu ni mchoro tunauchora kukamilisha picha yetu kamili kwenye msimu wa 2024/25. Na mchoro huu umeanzia kwenye Benchi la Ufundi.
Tutaendelea kuchora kwa umakini na ustadi kisha tutawapatia picha kamili.
Nyie ni tawi tu kama matawi mengine.Hamna jeuri ya kushindana fair and clear.
Mpo kama kanyaboya tu.
Mkubwa km nina idea tunaeza kuwasiliana ?Tawi ni yule aliyefungwa nje ndani goli nyingi!
Mkubwa km nina idea tunaeza kuwasiliana ?
Shukrani sanaKaribu sana PM ipo wazi
Wewe ulifungwa ngapi?Kama sio tawi?Lini umetoa hata droo?Mwenye timu ni mjumbe wa timu pendwa ndio maana unatoa povuTawi ni yule aliyefungwa nje ndani goli nyingi!