Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mchoro wa kuwa tawi la UtopoloNdani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu.
Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain ya Tunisia, Marouene Slimani.
Huu ni mchoro tunauchora kukamilisha picha yetu kamili kwenye msimu wa 2024/25. Na mchoro huu umeanzia kwenye Benchi la Ufundi.
Tutaendelea kuchora kwa umakini na ustadi kisha tutawapatia picha kamili.
Mchoro wa kuwa tawi la Utopolo
Ndani ya wiki hii tumetambulisha watu watatu muhimu sana ndani ya timu yetu.
Tulianza na Kocha Mkuu Patrick Aussems maarufu kama Uchebe, tukafuata Ramadhani Nsanzurwimo msaidizi wake ambaye ana uzoefu sana na soka la Afrika kisha leo mapema tumemtambulisha kocha wa viungo kutoka Club Africain ya Tunisia, Marouene Slimani.
Huu ni mchoro tunauchora kukamilisha picha yetu kamili kwenye msimu wa 2024/25. Na mchoro huu umeanzia kwenye Benchi la Ufundi.
Tutaendelea kuchora kwa umakini na ustadi kisha tutawapatia picha kTatizi hizi tiju
TATIZO LA HIZI TIMU ZA MIKOANI sio shindani atakuoa mechi kali kati yake na Simba Au Yanga kisha mechi na Tabora au prison anakuwa mlendaMchoro wa kuwa tawi la Utopolo
TATIZO LA HIZI TIMU ZA MIKOANI sio shindani atakuoa mechi kali kati yake na Simba Au Yanga kisha mechi na Tabora au prison anakuwa mlenda
Kungine Lisemwalo lipo Timu hii inatajwa kuwa ipo kama tawi Thibitishwni hilo sio kweli
Hamna timu nyingine ambaye so called mdhamini anatembelea kambi siku moja ya mechi na timu ambayo huyo so called mdhamini yupo kwenye baraza la wadhamini na timu hiyo inafungwa kirahisi.Sasa tunathibitishaje? Kama kufungwa mbona zipo timu zinafungwa nje ndani? Na zipo timu tunazifunga nje ndani nazo ni tawi letu? Shida watu mnaleta Usimba na Uyanga. Heshimuni football!
Ni kweli hakuna mdhamini anayefanya hivyo ila hizo timu unazoongelea ndizo timu zilizoonesha upinzani mkubwa uwanjani kuliko timu zingine zilizokuwa zinapigwa goli tano tano (rejea mechi ya nusu fainali FA) Yanga inapata goli extra time tena kwa mbinde mno.Hamna timu nyingine ambaye so called mdhamini anatembelea kambi siku moja ya mechi na timu ambayo huyo so called mdhamini yupo kwenye baraza la wadhamini na timu hiyo inafungwa kirahisi.
Kama umesoma sheria kuna conflict of interest huwezi kuwa mdhamini wa kutoa pesa kwenye ligi kwenye timu 2 zinazoshindana.
Wewe kwa sababu ni tarishi tu huwezi kuzungumza ukweli.Upo kwenye pay roll huna uhuru wa kusema lolote.
Toa mfano popote duniani ya timu kununuliwa katikati ya ligi na kuhamisha wachezaji anaowalipa kwenye timu aliyonunua.
Mechi ya ligi matokeo yalikuwaje hiyo timu ya mdhamini ilifungwa ngapi?Ni kweli hakuna mdhamini anayefanya hivyo ila hizo timu unazoongelea ndizo timu zilizoonesha upinzani mkubwa uwanjani kuliko timu zingine zilizokuwa zinapigwa goli tano tano (rejea mechi ya nusu fainali FA) Yanga inapata goli extra time tena kwa mbinde mno.
Hamna timu nyingine ambaye so called mdhamini anatembelea kambi siku moja ya mechi na timu ambayo huyo so called mdhamini yupo kwenye baraza la wadhamini na timu hiyo inafungwa kirahisi.
Kama umesoma sheria kuna conflict of interest huwezi kuwa mdhamini wa kutoa pesa kwenye ligi kwenye timu 2 zinazoshindana.
Wewe kwa sababu ni tarishi tu huwezi kuzungumza ukweli.Upo kwenye pay roll huna uhuru wa kusema lolote.
Toa mfano popote duniani ya timu kununuliwa katikati ya ligi na kuhamisha wachezaji anaowalipa kwenye timu aliyonunua.
Ni kweli hakuna mdhamini anayefanya hivyo ila hizo timu unazoongelea ndizo timu zilizoonesha upinzani mkubwa uwanjani kuliko timu zingine zilizokuwa zinapigwa goli tano tano (rejea mechi ya nusu fainali FA) Yanga inapata goli extra time tena kwa mbinde mno.
Timu iliyoshinda kwao ni ipi?Uongozi wao ulikuwa wa wapi?Makao makuu ya timu yalikuwa Singida au Mbarali?Kila mtu alishinda kwao. Angalau sisi tulipata matokeo mbona kuna timu imefungwa home 5 na away 2 husemi? Au na wao mdhamini wao ni mmoja? 😀
Timu unayoita tia maji inashiriki mashindano ya Afrika.Ya kwako inashiriki wapi?Kwani hawajui? Basi tu wanaandika kwa maumivu makali kwa sababu timu wanayoshabikia iko tia maji tia maji
Timu iliyoshinda kwao ni ipi?Uongozi wao ulikuwa wa wapi?Makao makuu ya timu yalikuwa Singida au Mbarali?
Hiyo timu imenunuliwa kupunguza upinzani wa timu pendwa kwani iliifunga mara 2 mfululizo.
Eti sisi wewe ulikuwa Ihefu?Umepataje huo usemaji au jamaa ni shemeji nini?
Timu unayoita tia maji inashiriki mashindano ya Afrika.Ya kwako inashiriki wapi?
Kushindana kutoshuka daraja?
Msalimie shemeji.
Hao Ihefu in disguise walishiriki hata kwenye hilo la losers?Nyakati nzuri kwa ngebe sio mpira.Kombe la Losers 😀
Relax mzee nyakati nzuri zinakuja huna haja ya kuwa na makasiriko hivyo! Ndio football
mechi ya awali walishinda goli mbili ila ya raundi ya pili ilifungwa goli zile zile alizofungwa Simba tarehe 5. Je wao hawakustahili kufungwa goli kama mlizofungwa nyie Simba?Mechi ya ligi matokeo yalikuwaje hiyo timu ya mdhamini ilifungwa ngapi?
Wewe
Hao Ihefu in disguise walishiriki hata kwenye hilo la losers?Nyakati nzuri kwa ngebe sio mpira.
Hata football yenyewe hujui basi tu kwenye mji wa wajinga, mjinga aliye na nafuu ndio anakuwa msemaji.
Sisi tuna waziri wa fedha, ninyi mna nn?Pesa ya uwekezaji wote huo mnatoa wapi?
Nani kasema hawakustahili?Ihefu lini alifungwa goli 5 kabla hawayanunuliwa na mdhamini?mechi ya awali walishinda goli mbili ila ya raundi ya pili ilifungwa goli zile zile alizofungwa Simba tarehe 5. Je wao hawakustahili kufungwa goli kama mlizofungwa nyie Simba?
Kwanza ulivyo mjinga mimi wala sio mshabiki wa hiyo timu unayoidhania.Mimi ni mpenda mpira.Mkuu mtu akisoma comments zako anaona machungu uliyonayo. Vumilia tu usije ukatimuliwa kwenye timu na wewe kama mashabiki wenzio au ukapelekwa lupango kama GB 64