Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
NIkiwa zangu ghetto nimetulia baada ya kazi nzito ya presentation ya individual assignment hapo majira ya saa 2 asubuhi katika harakati za kutafuta maksi 10 za course work katka module ya remote sensing kuisha.
Nikarud zang geto kunywa chai na mama umut(wife anakiband), sasa nikiwa namalizia kpande cha boga cha mwsho mara kiswaswadu changu kikaingia meseji lakin nikiwa sjaitilia sana maanani hiyo meseji lakni kutokana na wivu wa mama umut akaniambia utaki kusoma meseji kwasababu wanawake zako wa chuo wanakutafuta, nikaona isiwe tabu nikachukua simu nisome meseji ndo nakutana na meseji ya m pesa kwamba nmepokea 76500 kutoka kwa mtu X nikajiuliza mwenyw hii laini nmesajil juzi na hata vocha sjaweka na hakuna hata mtu mmoja anaeijua hii namba nikajisomea kmoyomoyo hili zali la mtende.
JE, MNANISHAURI VIPI LIWE ZALI LA MTENDE AU UTU NIWEKE MBELE