Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,098
- 3,038
Nimekumbuka Enzi zile tukiwa shule tulikosea kuhamishiana salio kama 500 hivi, hapo kishule shule ilikua ni pesa ndefu kwa Voda maana walikua na ofa ya kuunga mtu mmoja kwa sh 50 unampgia usiku kucha.
Basi tukapiga ile namba tuliyokosea akapokea sauti ya mtu mzima na mwenye busara hivi kwa kumsikiliza.
Tukamuambia samahan tumekosea kuhamisha salio, tunaomba tusaidie kurudisha walau 400 tu.
Yule Bwana akajibu, "napenda sana kuwarudishia pesa yenu ila simu yangu kitufe cha nyota hakifanyi kazi"