Kuna mdada kakosea kutuma hela nifanyaje?

Cha mtu hakiendi hivi hivi, amini kwamba kuna siku itakugharimu sana

Rudisha upesi
 
Weka utu kwanza.
Ilikuwa 2014, kuna mtu alikosea muamala kwa M-pesa nikampuuza maana maelezo yake ni kwamba ile hela alikuwa anaituma kwa mgonjwa(45,000), nilimpuuza lkn ukweli nilipokuja kuutambua nilikuwa nimechelewa. Yule mgonjwa alifariki.
Hadi leo huwa najuta kwa nn sikumsikiliza yule mtu...
 
Hyo n mipango ya mungu huyo kufa kwan ww ndo mtoa roho
 
Back
Top Bottom