amesndwa tongoza mtoto wa kike.. life huko nje litakuwaje?😛Mungu nifundishe kunyamaza
Wanawake huwatunuku wale wanao wahitaji?! Kuna mdada mmoja wanamshobokea wengine na magwanda ya jeshii, wengine wanashindana kutumia pesa ofisinii kwake..Usi mwambie umemwelewa anaweza kuchomoa,mfanye kuwa rafiki naskia sikuizi kuna friend with benefits akijisogeza sana anza kujionyesha una demu mwingine ataanza kuona wivu hapo sasa ndio mfungukie.
N:B usimtongoze akikataa utakosa amani.
Mkuu, 😊 😁 kishoiya ndio nani/ nini ? Ufafanuzii pleaseMahusiano kazini ni hatari sana mkuu acha kabisa, kuna dada nafanya nae kazi ananielewa sana mpaka staff wengine wanajua ila nmeamua sipigi maana najua kifuatacho ITV.
Kuna staff mmoja sijui ametuma maombi akaambiwa nipo nae, maana kila siku ni kuniuliza habari za kuwa ntaila lini hiyo mama hajui kuwa hata ingetokea nikala siwezi sema kamwe acha anione kishoiya.
😊☺️ Akasikilize wimbo wa COYO_MCAchana na mapenzi kazini yataku cost....
Kuzubaa zubaaMkuu, 😊 😁 kishoiya ndio nani/ nini ? Ufafanuzii please
Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa.
Kwa mwanzo, mahusiano yetu yalikuwa ya kikazi tu salamu za asubuhi, kuulizana hali, na mazungumzo ya kawaida kuhusu kazi. Lakini kadri siku zilivyoendelea, nilijikuta nikianza kumfikiria zaidi ya mwenzangu wa kazi. Kila tunapokutana, napata furaha ya kipekee, na muda mwingine hata nasahau kabisa msongo wa kazi.
Changamoto yangu kubwa ni hofu. Naogopa kumwambia hisia zangu kwa sababu tunaendelea kufanya kazi ofisi moja. Najiuliza, vipi kama atanielewa vibaya? Je, hali ya kikazi itabaki kuwa ya kawaida au itabadilika? Sitaki kuvuruga mazingira ya kazi wala kumuweka katika hali ya kutokuwa na uhuru.
Je, nifanye nini katika hali kama hii? Niendelee kuficha hisia zangu na kulinda kazi yangu, au nichukue ujasiri nimwambie kwa heshima na utulivu, nikikubali matokeo yatakavyo
Piga nyeto mkuuMimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa.
Kwa mwanzo, mahusiano yetu yalikuwa ya kikazi tu salamu za asubuhi, kuulizana hali, na mazungumzo ya kawaida kuhusu kazi. Lakini kadri siku zilivyoendelea, nilijikuta nikianza kumfikiria zaidi ya mwenzangu wa kazi. Kila tunapokutana, napata furaha ya kipekee, na muda mwingine hata nasahau kabisa msongo wa kazi.
Changamoto yangu kubwa ni hofu. Naogopa kumwambia hisia zangu kwa sababu tunaendelea kufanya kazi ofisi moja. Najiuliza, vipi kama atanielewa vibaya? Je, hali ya kikazi itabaki kuwa ya kawaida au itabadilika? Sitaki kuvuruga mazingira ya kazi wala kumuweka katika hali ya kutokuwa na uhuru.
Je, nifanye nini katika hali kama hii? Niendelee kuficha hisia zangu na kulinda kazi yangu, au nichukue ujasiri nimwambie kwa heshima na utulivu, nikikubali matokeo yatakavyo
Of course sio nzuri alafu unakosa uhuru ila ikitokea hakuna namna.Usidate na demu ofisi moja kazi itakua ngumu kweli kweli mtatengeneza majungu yaani kwa kifupi kazi lazima iwe ngumu
Waache wanaume mambo hayo, concentrate na kazi yako.Mimi ni mfanyakazi katika moja ya ofisi hapa mkoa wa Arusha. Tunafanya kazi ambayo siyo ngumu sana, mara nyingi ni kutumia kompyuta na kushughulikia majukumu ya kila siku ya ofisi. Ndani ya mazingira haya ya kazi, kuna mdada mmoja ambaye tumekuwa tukifanya kazi pamoja kwa muda sasa.