Kuna mdada ni mzuri sana, ila najishangaa sana kwanini sivutiwi nae kimapenzi

Haha..sawa.. naendelea kusoma comments
 
Tatizo unamhofia sio level zako ndio maana genye huna

Tafuta pesa utamtaka tu.
 
mtokee hivyohivyo tayari umeshavutiwa nae wewe tu hujui
 
Bro trust your instinct; it knows more than what you see. Usijiforce ukajiingiza kwenye matatizo bure..
 
Unampenda ila haumuwezi,sio level zako huyo binti..ila umekuja hapa kujiaminisha kuwa hakushtui..umechanganyikiwa ndugu!
 
Naomba namba yake inbox mkuu
 
Wee n domo zege bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hatuvutiwi na wanawake sababu ya mionekano yao bali tabia ndio mvuto wenyewe ulipo.
 
Huvutiwi nae ila unamuwazia masa yote.....yajayo yanafurahisha!
 
ye mwenyewe anashangaa anakuona boya fulani bora upite kuleeeeee......!!!
 
Umetoswa maliza kunywa chai uondoke hapo mgahawani asije kukujazia watu
 
Huvutiwi nae ila unaniwazia masa yote.....yajayo yanafurahisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shos mic u sana, kule selfika nimezuiwa jaman, naona unavini mic nashindwa kujibu. Mic u mnooo [emoji7][emoji7][emoji7]
 
1.Huenda unamchukulia kama dada yako au ndug yako ndio maana huwezi kumtamani

2. Huenda wewe unaepushwa na kitu ndio maana kila ukiwaza unajikuta huvutiwi nae

3.Huenda huyo dada anasali au mwema sana kwaio anaepushwa na watu ambao wanania ya kumchezea.

4.Huenda unakua stimulated kwa akili ya mtu sio maumbile

Mfanye tu awe rafiki yako kwanza kabla ya kutaka kumtongoza, sio kila binti mzuri lazima upite nae
 
Unamtaka sana mfuko wako tu hauna ushirikiano.

Yaani bila kumumunya maneno, sio saizi yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shos mic u sana, kule selfika nimezuiwa jaman, naona unavini mic nashindwa kujibu. Mic u mnooo [emoji7][emoji7][emoji7]
Jamanii kwanini shos!! Mis you sana jamani mods watupe wabad Sana shos!! Pole dia
 
Hiyo hali nishawahi kukutana nayo, kuna mdada wakati nasoma Secondary alikuwa ni mzuri mfano hakuna. Watu walimshobokea sana ila mie sikuwa sikuwa na mzuka nae hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…