Kuna mdada ni mzuri sana, ila najishangaa sana kwanini sivutiwi nae kimapenzi

Mhhhh

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Yaani hadi umeanzisha uzi halafu unasema hakijatokea kitu.
 
Mpaka umeamua kumuongelea hapa Ina maana unamuwaza na kumuwazia...

You are in love...
 
Mpaka umekuja kumsemea hapa jua yupo kwenye akili yako.
 
Hiyo hali nishawahi kukutana nayo, kuna mdada wakati nasoma Secondary alikuwa ni mzuri mfano hakuna. Watu walimshobokea sana ila mie sikuwa sikuwa na mzuka nae hata kidogo.
Bora ww umenielewa wengine huku wamenigeuzia kibao kuwa nimevutiwa nae ndo maana nkamwanzishia uzi, ningevutiwa nae ningesema hapa, coz cna sababu ya kuficha

Kuna binti mwingine namuwaza sana ana-occupy sana akili yangu, ila sio mzuri kama huyu demu white BinSalum7
 
Mie nakuelewa vizuri kabsa mkuu.
 
Nipo hapa...
 
Naweza kukupa ufahamu juu ya Jambo kinachopenda Ni moyo bila kujali mwanamke Ana kitu gani hivo basi pale inapotokea mwanamke anavigezo vyote na hauna hisia naye jitaidi kuzileta hisia zako karibu kwakuwa na uthubutu wakuwa Naye ukibahatika kuwa nae katika mahusiano utagundua faida zake na utofauti wake na hao wengine ndipo hayao Mambo yatakuja Asante
 
Sasa Cha ajabu Nini short and clear kuwa hujamwelewa ila Bado hujielewielewi ndo mana umeleta Uzi hapa, kwanza unampenda huyo binti ila Tu umekosa confidence ya kumface na pia yupo akilini mwako tofauti na ulivyoeleza.
All in all nenda kamface usituletee nyuzi za rangirangi hapa
 
Umepoteza muda na bando kwa mtu ambaye hakuvutii???[emoji3166][emoji3166][emoji3166]
 
Mshukuru Mungu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Mie nakuelewa vizuri kabsa mkuu.
Hata Mimi nawasoma vilivo siyo IPO sana Tu, ila jaribu kuwa na mazoea naye ya kimapenz uone .Lakini hiyo IPO mkak anaweza kuwa handsome nisimwelewe kabisa
 
Hiyo inatokeaga tu sijui huwa inasababishwa na nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…