Simba ya msimu huu ilikuwa ni kama Azam tu iliyo changamka kidogo. Yaani haikutupa kabisa presha kwenye ligi. Walikuwa wakipata sare, wenyewe wanashangilia!
Yaani hawakuwa kabisa na mambo mengi. Washambuliaji butu! Morali yao ilikuwa chini! Yaani safi kabisa. Kama vipi na msimu ujao wawe hivi hivi.