Kama nani nimtukane kisha nisiingie hadi ijumaa jioni?Wale wa internet za kazini hata ukiwatukana Ijumaa jioni kama amesha log off. Utajibiwa Monday morning.
Kwa hiyo tuliopo hapa hatuna familia!!?Watu wenye familia huwezi kuwaona w/end
Du!Kuna watu hawa waamini hata wake/waume zao kuhusu ID zao za JF. Wakihofia wasije wakaachana nao kisha wakavuliwa bukta mchana kweupe[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hawa ni naadhi ambao naweza nikawa wekea dhamana kwa hilo la kutokuamini wake/shem zetu GENTAMYCINE, erythromycine, Zero IQ, Salary Slip, britanicca
Si wengine pia wakija shem zenu ghetto, pia hua tunaficha APPLICATION ya JF, tunafuta GOOGLE SEARCH HISTORY. Halafu SIM inawekewa PASSWORD ndefu kama POEM + Tarehe ya Kuzaliwa (Baba/Mama/Bibi Mzaa Mama/Baba + Babu Mzaa Mama + Baba)[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
#Kesho nikupige kibuti au unifumanie halafu ukanivue nguo, Hatupendi ujinga kabisa
Kwa hiyo tuliopo hapa hatuna familia!!?
Ninyi ofisini kwenu mnaruhusiwa kuingia Social Media wakati wa kazi ??Wale wa internet za kazini hata ukiwatukana Ijumaa jioni kama amesha log off. Utajibiwa Monday morning.
Labda nyie ndo mpotee. Ladies huwa tunachat hata tukiwa tunapika, na hakuna kinachoharibikaWachache ambao wenye familia utawaona humu w/end...kama leo hujashinda nyumbani kuandaa chakula na kutoka kidogo na familia jioni unaweza kuonekana la sivyo huwezi kutokea humu
Labda nyie ndo mpotee. Ladies huwa tunachat hata tukiwa tunapika, na hakuna kinachoharibika