Kuna member huyu weekend hawaonekani

Kuna member huyu weekend hawaonekani

Kuna watu hawa waamini hata wake/waume zao kuhusu ID zao za JF. Wakihofia wasije wakaachana nao kisha wakavuliwa bukta mchana kweupe[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Hawa ni baadhi ambao naweza nikawa wekea dhamana kwa hilo la kutokuamini wake/shem/mtoto/wala ndugu zao kuhusiana na JF ACCOUNT GENTAMYCINE, erythromycine, Zero IQ (huyu kwa nyuzi zake kusifia wanawake wenye chura, ataachika fasta kwa shem wetu akigundua USER yake, hachukui hata siku mbili anapigwa chini) Salary Slip, britanicca

Si wengine pia wakija shem zenu ghetto, hua tunaficha APPLICATION ya JF, tunafuta GOOGLE SEARCH HISTORY. Halafu SIM inawekewa PASSWORD ndefu kama POEM + Tarehe ya Kuzaliwa (Baba/Mama ÷ Bibi Mzaa Mama/Baba × Babu Mzaa Mama/Baba)[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]

#Kesho nikupige kibuti au unifumanie halafu ukanivue nguo, Hatupendi ujinga kabisa
 
Wale wa internet za kazini hata ukiwatukana Ijumaa jioni kama amesha log off. Utajibiwa Monday morning.
Kama nani nimtukane kisha nisiingie hadi ijumaa jioni?

Halafu nawe Siku za week unakuwaga active saana ila weekend huwa unakatakata...utakuwa unaiba WIFI ya jirani.
 
Kuna watu hawa waamini hata wake/waume zao kuhusu ID zao za JF. Wakihofia wasije wakaachana nao kisha wakavuliwa bukta mchana kweupe[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Hawa ni naadhi ambao naweza nikawa wekea dhamana kwa hilo la kutokuamini wake/shem zetu GENTAMYCINE, erythromycine, Zero IQ, Salary Slip, britanicca

Si wengine pia wakija shem zenu ghetto, pia hua tunaficha APPLICATION ya JF, tunafuta GOOGLE SEARCH HISTORY. Halafu SIM inawekewa PASSWORD ndefu kama POEM + Tarehe ya Kuzaliwa (Baba/Mama/Bibi Mzaa Mama/Baba + Babu Mzaa Mama + Baba)[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]

#Kesho nikupige kibuti au unifumanie halafu ukanivue nguo, Hatupendi ujinga kabisa
Du!
 
Kwa hiyo tuliopo hapa hatuna familia!!?

Wachache ambao wenye familia utawaona humu w/end...kama leo hujashinda nyumbani kuandaa chakula na kutoka kidogo na familia jioni unaweza kuonekana la sivyo huwezi kutokea humu
 
Wachache ambao wenye familia utawaona humu w/end...kama leo hujashinda nyumbani kuandaa chakula na kutoka kidogo na familia jioni unaweza kuonekana la sivyo huwezi kutokea humu
Labda nyie ndo mpotee. Ladies huwa tunachat hata tukiwa tunapika, na hakuna kinachoharibika
 
1541959908646.jpg
 
Weekend tunakua tunakula bata na wadau mbali mbali kwahiyo ili tusiweze kuharibu mijadiliano suala la kuingia mitandaoni tunaliweka kando kidogo japo tunaweza ingia kwa kuchungulia nakutoka haraka....
 
Back
Top Bottom