Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Mwenyekiti alkael dronedrake na mshamba_hachekwi lazima waunge mkono hoja yako šHakika aendelee kukomboa CHAPUTAš¤£š¤£š¤£ au uongo Intelligent businessman ?
Mwenyekiti alkael dronedrake na mshamba_hachekwi lazima waunge mkono hoja yako šHakika aendelee kukomboa CHAPUTAš¤£š¤£š¤£ au uongo Intelligent businessman ?
Mia tatu ndogo hivyo!Mimi sio nabii ila tarehe 1 jan 2026, "daughter of long time" atakuja na uzi wa namna alikula bata kwenye mkesha na bwana wake na utapata comments 300
View attachment 3521581
secretarybird
Mjusi Sharobalo
Vincenzo Jr
Red black
Mtashuhudia šš
Apewe mi3 ya kuanzia šMsamba wa kusutia tunaanzia laki moja š¹š¹š¹
Si bure kaona kunifuata fuata kwenye nyuzi haitoshi imebidi anifungulie kabisa uzi wa kunijadili.Huyo anakupenda sema anatumia njia ndefu kukufikishia ujumbe..!! š¹
Yaani akifika kibo anamwaga maji huyo! Ohooo!Maraaa sijui alimpa style hadi miguu ikatoka dirishaniššš secretarybird
Mpe shavu ashike aache kukusumbua š¹š¹š¹Si bure kaona kunifuata fuata kwenye nyuzi haitoshi imebidi anifungulie kabisa uzi wa kunijadili
Mshedede utauma au?Hapo ni kukwea tu mnazi kwa maana inachukua muda sana kusubiri toto.
Sitaki kero ndogo ndogo maana nahisi huyu ndiyo wale ikifika pajani wazungu hao, anaanza kulalamika ya moto ššMpe shavu ashike aache kukusumbua š¹š¹š¹
Sitawaangusha, secretarybird tayari anajiandaa kunipa show ya kufungua mwaka, nitaandika uzi huku napepewa kipochi na feni šTukutane kwenye uzi wa Binti wa zamani mapema january kama ilivyotabiriwa š
Mtu akijifanya anasubiri totoz basi mshedede unaanza kukauka na kuanza kumvuta anayeumilikiMshedede utauma au?
Kaka Elli, watu mna stress, mnipe tu shukrani kwa kuwapunguzia mahangaiko
Napiga jeramba kwa minajili ya hiyo show amabayo itaufunga huu mwaka kibabe.Sitawaangusha, secretarybird tayari anajiandaa kunipa show ya kufungua mwaka, nitaandika uzi huku napepewa kipochi na feni š
Plus ndugu yetu dosho12 ššMwenyekiti alkael dronedrake na mshamba_hachekwi lazima waunge mkono hoja yako š
Shukrani za nini wewe unatulaza mnara umesimama kama nini!Kaka Elli, watu mna stress, mnipe tu shukrani kwa kuwapunguzia mahangaiko
Mpe apunguze kelele jukwaani š¹š¹š¹Sitaki kero ndogo ndogo maana nahisi huyu ndiyo wale ikifika pajani wazungu hao, anaanza kulalamika ya moto šš
Ni wewe ndugu umetype haya? š„Shukrani za nini wewe unatulaza mnara umesimama kama nini!
Suluhisho linakuwa nyeto! Upewe kesi ya kuhujumu hisia.
Unaweza ukawa mtu mzima lakin k ikawa haijatumika sana
Mpe tamu kaka yangu buana, unaona mpaka anayamwaga humu!Ni wewe ndugu umetype haya? š„