Kuna member JF wanafafanana humu

Kuna member JF wanafafanana humu

Aseeh huu ubatizo si wa mchezo mchezo. Su ndiyo njia mpya ya kurudi kwa wachuchu waliochomoa
Nishakua muhenga comrade......
Now days sina meno amigo....[emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Oouh, nimekupata.

Kuna sehemu Australia inaitwa lottah yenyewe badala watu kuongezeka hupungua.. it's called a ghost town.
Aseee !

Shukuran sana kwa kunifahamisha chief

Huo mji watu wana balance nature tu(kufa) bila kuzaliana sio?
 
Back
Top Bottom