Kuna member JF wanafafanana humu

Kuna member JF wanafafanana humu

Yupo tena mutu ya bukoba hukom
Kwahiyo ni kwamba yuko sawa upstairs?
Akchware miwatu ya bukoba ina IQ kubwa, usikute ni Prof.
And Bezikale atakuwa na hera za kutosha, meaning that anaeeza kununua Njito yote kuanzia pale nyumbani kwa yule mzee alianguka na helcopta yake mpaka kule chini
 
Amigo, ebu punguza utani unao fanana na ukweli aiseeeee......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Whatup? Ile ilipata shida gani
 
Kwahiyo ni kwamba yuko sawa upstairs?
Akchware miwatu ya bukoba ina IQ kubwa, usikute ni Prof.
And Bezikale atakuwa na hera za kutosha, meaning that anaeeza kununua Njito yote kuanzia pale nyumbani kwa yule mzee alianguka na helcopta yake mpaka kule chini

[emoji1] [emoji1] ofukozi...

Baizawei mkwe wangu siwezi kumlinganisha na low IQ's.
 
Hivi hii lottah ni ile ya ghost town? Kwanini ulijiita hivyo
Huyu mtu aliyechangia Agriculture revolution huko Britain wakati wa kipindi cha industrial revolution Ali apply scientific methods in agriculture mfano seed drill na zingnezo

Kama umesoma ma PCM huwezi kuielewa lakini hizi ni zetu watu wa H kunani
 
Ipo hai comrade, zaidi ni mabadiliko ili kuonja na ladha ya upande mwingine....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Aseeh huu ubatizo si wa mchezo mchezo. Su ndiyo njia mpya ya kurudi kwa wachuchu waliochomoa
 
Huyu mtu aliyechangia Agriculture revolution huko Britain wakati wa kipindi cha industrial revolution Ali apply scientific methods in agriculture mfano seed drill na zingnezo

Kama umesoma ma PCM huwezi kuielewa lakini hizi ni zetu watu wa H kunani
Oouh, nimekupata.

Kuna sehemu Australia inaitwa lottah yenyewe badala watu kuongezeka hupungua.. it's called a ghost town.
 
Back
Top Bottom