Kuna member JF wanafafanana humu

hahaha nimeisoma .....ntakua nakimbiza mwizi kimya kimya
 
Umenifanya niwaze haraka haraka kuhusu Karucee na Afrodenzi. Ni kweli hawa watu kwenye michango yao wanashabihiana sana wote hawa wana mtazamo huru na wako free kufikisha ujumbe wao vile watakavyo wao badala ya kuangalia jamii inataka kusikia lipi.
The Boss upo wapi siku hizi!?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…